Nakupenda ila wazazi hawakutaki

Nakupenda ila wazazi hawakutaki

Anamaanisha
Anakupenda ila wazazi wake hawakutaki
Yani yeye anakupenda hana shida na mahusiano na Wazazi wake wanaona humfai mtoto wao!
He means he wants u but his parents don't deem u deserving their son.

Huhitaji kuwaza zaidi
 
Muulize huyo mwanaume aliyekwambia hivyo...
 
Anamaanisha anataka kuwaoa wazazi wake.

Anamaanisha wazazi wake hawajiamini kwamba wamefanya kazi nzuri ya kumlea, kiasi cha kutaka kumchagulia mke.

Anamaanisha anataka kukutosa ila lawama anataka kuwapa wazazi.

Anamaanisha hakuwa muoaji tangu mwanzo, ilikuwa gia kubwa ya kutokea tu tu
 
Ana maanisha hamuwezi kuwa na future, hivyo yeye anakutumia kwa muda ili siku ziende
 
Hakuna future lakini mnaweza kuendelea na mapenzi.
 
Ngoja Tyta anakuja kukuelewesha na picha

tumblr_mhf49hwDX91qecukdo1_500_large.png

NotSpecial.jpg

9e1e5a030d1f4c85c843de699c8ee55b79.png
 
Back
Top Bottom