Hongera akina dada pande hii --salute !!

Hongera akina dada pande hii --salute !!

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
26,012
Reaction score
25,353
...

Hola amigos, wacha tu !!!!

Pande hii ni wavumilivu , wachapa kazi , wanajuwa malezi ya watoto ni majembe kweli kweli katika familia na jamii


Hasta pronto...




_70694794_06_kenya_soldiers_ap.jpg




ap120203145053.jpg



Italian_Soldier_Olypmic_Games_Turin_2006.jpg
 
Mbona haujaeleweka, una maanisha wanajeshi ama?
 
Hakuna picha za wanajeshi wa kike wa Tanzania? Hao wenye picha hata kiswahili hawajui, sijui umetumia mantiki gani kuwachukua na kuwaweja humu
 
Mi nikienda huko jeshini halaf wakanikabidhi bundukiii aiser bora nisiendeeeee
 





_70694794_06_kenya_soldiers_ap.jpg





Itakuwa hamna risasi, vinginevyo ni hatari sana unaweza ukafyatua kibahati mbaya
 
Mwanajeshi kawaida huwa ni mvumilivu tu katika mazingira yoyote yale..

Lakini lijapo suala la malezi ya watoto, tabia hubadilika kutoka mwanamke mmoja kwenda mwingine...
 
Back
Top Bottom