Ninamkirimu vizuri mwalimu binti aliyeripoti kazini

Ninamkirimu vizuri mwalimu binti aliyeripoti kazini

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,823
Reaction score
140,865
Wakuu, asalam aleikum
Nipo nyumbani kwangu Iramba katika mapumziko mafupi. Ninayo furaja kuu kumkaribisha nyumbani na kumkirimu binti mpole aliyekuja kuripoti kituo cha kazi Hamashauri ya Iramba akitokea Kigoma. Mwalimu huyu nilimpatia lift kutokea hamshauri akielekea kwenye lodge aliyofikia, nilimshauri awe mwanafamilia wangu ktk kipindi hicho ambapo hawajapangiwa shule, akakubali kwa wasiwasi wenye faraja. Binti kafarijika japo amesisitiza nimtaarifu mke wangu kuwa kuna mgeni maana yeye yupo Mwanza kituo cha kazi. Nimempatia chumba kizuri kapumzika peke yake

WanaJF wenzangu wa kike na kiume muwe na moyo wa kutoa misaada kwa watu hawa maana wengine wametokea mazingira magumu na wametoka kitaa
ONYO:Msitumie loophole hii kuwataka kimapenzi
Updates:Wamempatia kituo,ameripoti leo na kesho anakuja kuendelea na mapumziko next wiki nitampeleka,ni binti wa Kondoa Mrangi
 
Hahahaaaa. ikukute enzi zako bwana!!!!

Heshima kwako mkuu. Its long time mzee wa kalma/keleb!!!

Hakuna lolote, una lako jambo wewe..
Eti unamkarimu mwalimu binti..........! Mpaka hapo umeshanitia shaka.
 
nakumbuka mahondaw nae alikirimiwa hivyo hivyo, mwisho wa siku umeme ukakatwa makusudi na madirisha kufungwa..

sina maana mbaya mkuu, kuwa na moyo wa kusaidia hivyo hivyo.. ila usibadili mawazo mkuu, usitumie kigezo cha upole kubadili ardhi kuwa mbingu na upole kuwa maumivu kwa mwalimu, bado ana kazi nzito ya kuondoa division 5
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe sana, watu wachache sana katika ulimwengu huu wenye moyo kama wako
 
Hongera aisee. Ni jambo jema sana kukarimu.

Naamini ni kitu kibaya sana kutumia shida za mwingine kumshawishi kukubaliana na matakwa yako ambayo kama haikuwa hio shida yake hangekubali kwa nadhiri yake. so umetoa wosia mzuri.

Wakuu, asalam aleikum
Nipo nyumbani kwangu Iramba katika mapumziko mafupi. Ninayo furaja kuu kumkaribisha nyumbani na kumkirimu binti mpole aliyekuja kuripoti kituo cha kazi Hamashauri ya Iramba akitokea Kigoma. Mwalimu huyu nilimpatia lift kutokea hamshauri akielekea kwenye lodge aliyofikia, nilimshauri awe mwanafamilia wangu ktk kipindi hicho ambapo hawajapangiwa shule, akakubali kwa wasiwasi wenye faraja. Binti kafarijika japo amesisitiza nimtaarifu mke wangu kuwa kuna mgeni maana yeye yupo Mwanza kituo cha kazi. Nimempatia chumba kizuri kapumzika peke yake

WanaJF wenzangu wa kike na kiume muwe na moyo wa kutoa misaada kwa watu hawa maana wengine wametokea mazingira magumu na wametoka kitaa
ONYO:Msitumie loophole hii kuwataka kimapenzi
 
Hahahaaaa. ikukute enzi zako bwana!!!!

Heshima kwako mkuu. Its long time mzee wa kalma/keleb!!!
Mkuu Tized siku hizi nachechemea tu, sarakasi za mabinti siziwezi tena..............
 
Last edited by a moderator:
Iramba ipi hiyo?? Mwonye Mchemba tu. Hata angeupewa full uwaziri. Hatosheki na hana Ada.ya. bu. Usione ana weka picha yakumbeba mtoi kwa mbeleko. Hapo alikuwa anaficha madhambi yake.
 
Kama kuna kitu kimemiss kwenye story yako mkuu??
 
Mkuu mleta uzi mimi pia nimepangiwa kazi maeneo hayo hayo vipi nipate vipi mawasiliano na wewe kupata msaada kama wa huyo mwenzangu wa jinsia tofauti au ukarimu wako ni ule..vigezo na masharti kuzingatiwa?Faida mojawapo nnaweza/tunaweza kupata na the so called mwalimu mpya na mgeni ni kuwa wamoja ikiwezekana tukapange nyumba pamoja naye tuanze maisha si mnajua umoja ni nguvu?..ila sina maana hiyo kwa kwa kwaaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom