leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,716
Baada ya kuwasikiliza kwa makini watumishi wengi wa Mungu wamekuwa wakisema mwanamke fulani katika maisha yako ndio amekuwa kikwazo katika kuwa na maendeleo na mwelekeo ulio chanya kwenye maisha yako.
Hivi mpenzi wako wa zamani bila kujali kama ulimuahidi kumuoa au lah aweza kukuharibia maisha yako?
Hivi mpenzi wako wa zamani bila kujali kama ulimuahidi kumuoa au lah aweza kukuharibia maisha yako?