Maisha ya sasa hivi

Maisha ya sasa hivi

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Mie ninavyoona life ya sasa hivi,,
Ukipata mwanaume/mwanamke anaekupenda kwa dhati,akakuheshimu,akakutunza hata kama ana migegedo mingine we kaa tuliza mshono uache maisha yaendelee coz ukosema utafute wa peke yako utaachwa/utaachika daily!
Ama uongo
 
Ha ha ngoja nirudie michepuko.
Kumbe nipo karne 1 nyuma
 
Mmh!nimeshikwa na kigugumizi kukujibu,da swali lako ni kama linamwelekeo.
 
Haijalishi...!!!
 

Attachments

  • mmh.jpg
    mmh.jpg
    49.2 KB · Views: 298
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom