Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una...
Nimeamua kuandika hivi baada ya kushindwa kuisaliti ndoa yangu Sijui mke wangu kanipa nini hata nikiwa peke yangu mbali nikitaka kumsaliti nashindwa kabisa kila picha yake ikiniijia kichwani naona...
Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au...
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.
Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke...
Huwashwa sana sehemu za chini, alishaenda kupimwa hakukutwa na ugonjwa wowote, hii humtokea mara moja moja saana, ila hanuki hata kidogo. na nimsafi sana wa huko chini, ila akiwa katika hali hiyo...
Hello wakuu,
Kuna hili suala la baadhi ya mabinti kuwa karibu sana na baba zao ingawa na mama zao wapo, hivi ni kweli kwamba ni wameruka stage?
Me sijui saikolojia naomba mnieleweshe kwa sababu...
Wanajamvi natumaini mpo salama,
Nipo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa sasa ila siifurahii ndoa yangu. Na sababu kubwa ni x wa mwenzangu, yupo nao busy utadhani hajaoa kuna wakati nahisi alikosea...
Habar za jion na habri za kupungua kwa barid na mimi leo najiyokeza natafuta mwenza sifa zifuatazo
1) Awe amejaalliwa neema za alha(makalio makubwa)
2)Awe anajua mambo yetu yaleee
3)Pili asiwe...
Ni tabia mbaya na wengi mnaatarisha afya zenu wakati unapotaka kuesabu pesa unalamba kidole alafu ndio unaanzakuesabu. Kuna wengine wanatemea vidole mate kabisa yaani mate mpaka unayaona alafu eti...
Nimekuwa observing member siku nyingi sana nimeona leo nishare na wanajamii jambo moja.
Jamii nyingi imekuwa ikitufundisha kuwa masturbation ni mbaya , naomba niweke baadhi ya maelezo ya kwanini...
Hello wanajamvi naombeni kuuliza kupima hiv kunafanyika mara ngapi ili kuprove kabisa kuwa mtu ni mzima? Je kuna vipimo vya kuweza kupima mara moja tuu na kuprove kuwa mtu ni mzima? Naombeni...
Kuna rafiki yangu aliachana na mume wake yapata miezi nane sasa tangu watengane,lakini rafiki yangu huyu ni wa kike anasumbuliwa sana na ndoto yakuwa anajiwa na mr wake huyo tena akiwa anashiriki...
Ujue humu ndani ya jamiiforums hatujuani kwa sababu ya kutumia avatar na majina fake .Lakini cha uzuri na cha kufurahisha tunajuana vizuri kabisa kwa kusema na kupost MAWAZO YA SIYO FEKI .AMIN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.