Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 571
- 161
Kwa jina naitwa Kontelo,
Nina miaka 27.
Nimemaliza form 6 mwaka jana kwa bahati mbaya matokeo hayakuwa mazuri sikuweza kuendelea na chuo,
bado nipo mtaani najishuulisha na kazi ndogo ndogo kama za ujenzi na kuuza maji.
Ninatafuta mwanamke alie tayari kuwa na mume niPM maana nimechoka kuishi pekeangu na kwa shuuli nnazofanya nina uwezo wa kumuhudumia.
Natanguliza shukrani..