alley omar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 277
- 37
Haloo wana jf nimejitokeza kutafuta mchumba anaeishi, jamvini sifa awe muislam, anaeishi zanzibar umri kuanzia miaka 20-45 kwa mawasiliano zaid nitafute hapa naomba alieserious 0773584154
Huyo mchumba wako unayemtafuta kwani kapotelea wapi? Au kapotea kwa sababu ya mafuriko! Toa taarifa kituo cha polisi au uende pale kituo cha daladala Jangwani kuna waathirika wa mafuriko unaweza kuta yuko pale!Haloo wana jf nimejitokeza kutafuta mchumba anaeishi, jamvini sifa awe muislam, anaeishi zanzibar umri kuanzia miaka 20-45 kwa mawasiliano zaid nitafute hapa naomba alieserious 0773584154
Mkuu hati ya muungano imepatikana, ruhusu hata wachumba wanaoishi bara mkuu alley omarHaloo wana jf nimejitokeza kutafuta mchumba anaeishi, jamvini sifa awe muislam, anaeishi zanzibar umri kuanzia miaka 20-45 kwa mawasiliano zaid nitafute hapa naomba alieserious 0773584154