Inanitokea tukiwa tunataka kudu!

Inanitokea tukiwa tunataka kudu!

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habari zenu wapendwa hope mnaendelea vizuri na Ujenzi wa Taifa

poleni mliokumbwa na majanga ya mafuriko pya!

Nina swali wenzangu mnisaidie au kama una uzoefu

Ni kama mara mbiliinatokea tukiwa tunataka tudu na boyfriend wangu inatokea mwili wangu nakuwa wa moto sana had jana mchuchu kashangaa ni sababu ya hizi hali yali ya hewa ya baridi ama ntakuwa na tatizo?
 
Joto sio ugonjwa labda genye zako zinapanda sana ukiona dushelele limecmama
 
Kwani wewe mwenyewe unajisikia kama unahoma au Laa? kama uhisi unaumwa basi Kwa raha zako......
 
Sasa joto si ndo linatakiwa kipindi hiki cha Baridi? hofu yako nini Mamiii
 
ya walimwengu waachie walimwengu la sivyo uta:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Joto sio ugonjwa labda genye zako zinapanda sana ukiona dushelele limecmama

scared-and-sweating-smiley-emoticon.gif
 
Ni kawaida mumy hta mie ilikua inatkea hasa hal ya hewa ikiwa ya barid
 
Asanten jaman nikajua nna matatz coz jamaa alishangaa sana had nkaogopa
 
mhhh humu kuna mambo! usipocheka, utakasirika, na kujifunza mengi usiyoyajua basi inakuwa raha tupu
 
mhhh humu kuna mambo! usipocheka, utakasirika, na kujifunza mengi usiyoyajua basi inakuwa raha tupu
Usiombe itokee upost kitu cha kijinga... basi wote wanakusuta si wanaume wala si wanawake, hadi utatamani ubadilishe user name na Avatar
 
hilo sio tatizo, ni mwili wako tu una joto joto na hali hii, du rahaje unakutana na joto hata ukiingiza gia unasikia umotomoto ndani mule basi full joto.
 
Asanten jaman nikajua nna matatz coz jamaa alishangaa sana had nkaogopa

Agriculture wanasema heat period period, Mtaani wansema danger zone, Jeshini man on fire au soldier on alert.
 
Habari zenu wapendwa hope mnaendelea vizuri na Ujenzi wa Taifa

poleni mliokumbwa na majanga ya mafuriko pya!

Nina swali wenzangu mnisaidie au kama una uzoefu

Ni kama mara mbiliinatokea tukiwa tunataka tudu na boyfriend wangu inatokea mwili wangu nakuwa wa moto sana had jana mchuchu kashangaa ni sababu ya hizi hali yali ya hewa ya baridi ama ntakuwa na tatizo?
Inaonekana ni mroho wa ngono itakuuwa
 
Back
Top Bottom