MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Juzi kati nilitoa post ya demu wa mshikaji tunaesoma nae hapa chuo ambaye nilifanikiwa kumgegeda baada ya kuja gheto ku type group assignment,demu aliniahidi kumwacha mshikaji na kweli demu alimwacha jamaa.
Kinachonisumbua kwa sasa nimemfuatilia demu na nimegundua demu kuna uwezekano hajatulia kabisa sababu most of the time anakuwa busy na simu kuchati na kuongea na wanaume na pindi nimwulizapo anadai ni rafiki zake.
now its too much na nafikiria kumwacha muda wowote.
Naombeni ushauri nifanyaje sababu mi nachofikiria hapa ni kuachana nae kabisa.