Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,047
- 676
Habari zenu wana MMU..!!
Miaka miwili iliyopita nikiwa nasoma chuo morogoro nilijikuta kwenye mahusiano na msichana flani aliekuwa ananizidi umri kama miaka mi3 hivi. Mim nilikuw 24yrs na yeye 27yrs. Elimu yake ni ya chuo (aligraduate nje ya nchi) na alikuwa ni mwalimu mkuu shule flani ya msingi (English Medium). Hajaolewa mpaka sasa na bado anaishi kwao. Uhusiano wetu ulianza nilipompa lift kwenye pikipiki yangu (boxer BM 150). Alikuwa akielekea stend ya msamvu namimi nilikuwa naelekea chuo maeneo ya Mazimbu. Aliponiona akanisimamisha akidhania bodaboda. Nikasimama nikambeba mpaka msamvu bila malipo (nilimwambia keep ur money). Akachukua namba yangu ya cm tukawa tunachat. Ilipofika wiki ya pili tangu tukutane Mara txt za mapenzi zikaanza, tukaja kujishtukia automatically tumekuwa wapenzi.
Siku ya kwanza nafanya nae mapenzi (ngono) alilipia chumba lodge yeye mwenyewe. Sasa tukiwa tunaendelea na ligwaride mle chumbani nikaanza kusikia harufu mbaya ambayo sio ya kawaida. (nina bahati sikufanya oral sex). Wote Tulivyofika kwenye peak/plateau nikagundua kuwa ile harufu ilikuwa inatoka kwenye genital za yule demu. Nilishangaa sana coz ckuwahi kukutana na demu mwenye tatizo hilo. alafu nikimuangalia alivyo msafi wa mwili, nadhifu wa mavazi yaani hauwezi kudhania kama anaweza kustink. Kwasababu ilikuwa ni first day sikuweza kumwambia chochote kuhusu ile harufu kwa kuhofia ntamshushia self-esteem yake na konfidensi yake kwangu. Alifurahi sana cku hiyo. Akashukuru sana nilivyomfikisha kileleni.
Second date yetu ilikuwa lodge tena. Alikuwa hapendi nimpeleke gheto kwangu coz nilikuwa nimepanga na wanafunzi wengine pale ninapoishi so alikuwa anahofia wasimuone akiwa na dogodogo kama mimi. Siku hii nikawa nataka kuhakikisha kama ile harufu itakuwepo tena au ilikuwepo cku ile ya kwanza tu. Ilipofika muda wa majambozi nikaanza kumshughurikia mdada wa watu. Alipofikia ile orgasm tu,..... Yaani baada ya zile ''baby am coming.. Baby am kaming.. F*ck me hard bby...'' harufu kali ikaanza kusikika tena kama ile ya cku ya kwanza. Duh!! Nikagundua kwamba zile vaginal discharge/fluid zinazomtoka akifikia peak wakati wa majamboz ndio zinastink japo ckujua kama yeye analitambua hiilo ama la coz alikuwa very free, mwenye furaha na vicheko kibao. Nilikuja kumpotezea kimyakimya japokuwa alikuwa ananipa sana pesa za matumizi nikiwa chuo kalibia kila cku. Mpaka leo cjawahi kumwambia kuwa niliachana nae kwasababu ya ile harufu coz bado tunachat whatsapp na mawasiliano mengine yapo japokuwa mim sipo morogoro tena. Sasa najiuliza hali ile ya harufu inatokana na nini? Je wana MMU hakuna mwenye experience ya hii kitu kwa demu yeyote? Je wanawake mliopo MMU mnajua nini kuhusu hizi harufu? Je wanaume wenzangu ukikutana na situation kama yangu utamwambia? Na Utamwambiaje? ( najua wengi mnakutana na wapenzi wananuka midomo/vinywa, vikwapa, hawatawazi au wananuka nguo zao za ndani, je mnakabiliana nao vipi?
Mimi mpaka leo sijamwambia ingawa ni rafiki yangu sana na pesa bado ananiwezesha nikikwama.