yote kheri
New Member
- Apr 13, 2014
- 4
- 0
Mimi ni msichana wa miaka 27 nina mtoto natafuta mume nimechoka kuumizwa
Mimi ni msichana wa miaka 27 nina mtoto natafuta mume nimechoka kuumizwa
I hope huu ushauri wako atautumiaKwajinsi ulivyoandika, wewe hujachoka kuumizwa, yani hapo utaumia mpaka utajuta kuifahamu jf,
Yani hapo ni sawa na umefumba macho kisha unaokota tu nyanya bila kujua ni masalo, mbichi au zimeiva,
nicheki hapa Naweza kusaidiana na wwMimi ni msichana wa miaka 27 nina mtoto natafuta mume nimechoka kuumizwa
Miaka ishirini ni umeshapevuka vyakutosha na kipimo ni huyo mtoto! Kwa short notes yako hii hutafuti mume unatafuta kuwa toi la kujitolea mihemko....nenda uwanja wa fisi mabwana watapatikana!
Ni maumivu gani ambayo ume refer hapa kwenye mada yako?
Je, wataka mume wa kukugegeda tu au kuolewa?
Kwa namna ulivyo andika hapa, ni wazi wewe utakuwa umeshafubaa vya kutosha.
Sijawahi kuona mwanamke ambae tayari amezalishwa na analilia kupata bwana halafu awe mtamu.
Wewe malizia uzee wako kwa kumlea huyo mwanao, nje ya hapo unajitafutia UKIMWI tu.