Rafiki wa hivi utamsaidia?

Rafiki wa hivi utamsaidia?

Shori

Senior Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
146
Reaction score
25
Una dada yako, alafu rafki
yako anataka kumuoa lakn
hajaongea nae, anataka
umpe namba yake ya simu
ili aanze kufunguka kwa
dada yako.
UTAMPA AU INAKUAJE?

(kujifunza hakuna mwisho
ukiona unajua xana matusi
kayaandike kwa wall
yako)
 
Ahahaaa rafiki gani km huyo, kwanza inaonyesha hajiamini, ana haraka sana na hajui anachokifanya ( coz km ni rafiki yako atakuwa anamjua vzr sana dadangu kiasi cha kuhitaji kumuoa na namba yake atakuwa nayo) otherwise domo zege na atamsababishia umaskini dadangu hajui kufunguka!

N.B kwa bahati mby sina dada na nisingempa hata angekwepo na urafiki ungeishia hapo, watongozane wenyewe huko!
 
Una dada yako, alafu rafki
yako anataka kumuoa lakn
hajaongea nae, anataka
umpe namba yake ya simu
ili aanze kufunguka kwa
dada yako.
UTAMPA AU INAKUAJE?

(kujifunza hakuna mwisho
ukiona unajua xana matusi
kayaandike kwa wall
yako)

Ahhahaa..nimependa aya ya mwsho iyo
 
Una dada yako, alafu rafki
yako anataka kumuoa lakn
hajaongea nae, anataka
umpe namba yake ya simu
ili aanze kufunguka kwa
dada yako.
UTAMPA AU INAKUAJE?

(kujifunza hakuna mwisho
ukiona unajua xana matusi
kayaandike kwa wall
yako)

yaani unataka uwe dalali wa dada yako??
 
Kama kweli ana nia naye atapata tu namba yake!
Anapata wapi guts za kukwambia wewe kaka ashindwe kumwambia mhusika?
 
Mkuu msaidie rafiki yako bana, lipia chumba gesti mpeleke dada kisha mwelekeze mshikaji akajilie....
 
Ahahaaa rafiki gani km huyo, kwanza inaonyesha hajiamini, ana haraka sana na hajui anachokifanya ( coz km ni rafiki yako atakuwa anamjua vzr sana dadangu kiasi cha kuhitaji kumuoa na namba yake atakuwa nayo) otherwise domo zege na atamsababishia umaskini dadangu hajui kufunguka!

N.B kwa bahati mby sina dada na nisingempa hata angekwepo na urafiki ungeishia hapo, watongozane wenyewe huko!

Ha ha poa nmecheka kuona urafk ungeisha
 
Back
Top Bottom