Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sio siri tena,now ipo waazi,mamaa wa majanga snura mushi,kamtambulisha rasmi yule anaemvua kufuli lake...huyu jamaa ni vdj hunter wa "maisha club mbeya" haya wale wa vijichooo ;)
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari za siku wana jamvi?Natumai mu-wazima. NAOMBA NIONGELEE TABIA YA MABINTI ZETU JUU YA UVAAJI WAO HASA PALE WANAPOKUWA MBALI NA WAZAZI WAO,KWA KWELI INATIA HULUMA SANA KWANI WENGI WAO...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, kama wewe ni single dirl na upo dar naomba ni PM tufahamiane kwa ajili ya kupeana kampani katika hizi holday na siku za mbeleni!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi jana tulikuwa kwenye story za kawaida ila kwenye cm yake akawa anachart huku akicheka mwishoe akaona atushirikishe hiyo mes ya kwanza kuingia kwenye cm ikisema hivi: Kaka flani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadada wengi, hata waliookoka, wana tabia ya kuchagua wachumba au wenzi wa maisha kwa kutazama hali ya maisha ya wakati huo ya kijana husika. Akina kaka wengi wameambulia matusi, au hapana za...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Namastee! Wanaume wafanyakazi wana mengi rohoni. Kazi zenyewe hizi za watu kuganga njaa tu, mradi utoke asubuhi umeoga tu, ukweli tunaujua wenyewe maofisini. Huku nje sasa full kujistiri ile...
11 Reactions
137 Replies
13K Views
Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nadiriki kumuita ivyo cos mm Kama mwanaume hainiingii akilini vitendo alivyokua anafanya,alianzisha mausiano na Dada binamu wangu ambae tayari alikua na mchmba na ivi sasa anamume wake!mumealali...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau niwasalim, Kwanza naonba nikiri kwa sasa JF na haswa mmu imekua ni sehem muhimu kiushauri kwangu binafsi.. tukiacha wale ambao mara zote wana-comment pumba kuna watu muhimu sana umu na wana...
1 Reactions
98 Replies
8K Views
Hii kitu inanisumbua akili kweli, sijui ni ugonjwa, yaani kama week sasa kila nikipiga goli machozi yananitoka. Kama ya jana ndio ilikua kali kabisa nililia mpaka demu akaogopa akaanza...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwenye mitandao ya kijamii kila uchao kuna mavituko. Hawa walioko kwenye mitandao ya kijamii wanatoka hukuhuku mitaani tunakoishi Lakini wanayoyasema huku mitandaoni hayapo kabisa huko mitaani...
26 Reactions
290 Replies
25K Views
Mimi huwa wananipa shida sana wakati wa kukiss. Najikutaga nimeishia kunyonya pua tu.
2 Reactions
47 Replies
12K Views
jaman nina miaka 30 cha ajabu hata cjui kumtongoza mwanamke. maana nimechoka kutongozewa! naomba kwa anayejua hako kaujuzi kakutongoza anifundishe toka mwanzo unapomkuta mwanamke unaanzaje mpaka...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Uanachama katika chama cha wanandoa unaelekea kunishinda. Mama watoto ananikosesha kwa jeuri na kutaka tuachane Kila wakati. Naomba kupata uzoefu kwa mlioachana na ndoa 1. Ni nini...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
WanaJF habari za asubuhi! Mimi ni miongoni mwa wafuasi wa ile imani kuwa mapenzi si pesa, na hapa naweka 1 ya mashairi maarufu sana, kwa waliosoma A level English language na hasa Paper II ama...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Jamani wana MMU habari zenu, Waungwana naomba ushauri wenu kwani mimi nimetokewa kupendwa na dada mmoja ambae anasomea nursing na atakua anahitimu mwezi wa sita na amekuwa akiambia anataka...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Marvin Gaye and Anna Gordy Speaking of the Gordys, in an interesting example of cougarism in black history, Marvin Gaye was married to Berry Gordy's older sister Anna Gordy when she was 42 and...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo. Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo Ampigi mke wake, anamfanyia massages na...
4 Reactions
81 Replies
8K Views
....MCHEPUKO wa wenzako Kuna hili tangazo la baki njia kuu acha na michepuko anaonekana kibonde a.k.a Kibs akiwaasa wana NDOA kuucha kutembea NJE ya NDOA zao...mandhari NZIMA ya tangazo lile ni...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwenzenu nina kitu fulani, sifahamu kama ni tatizo ama laa!! hili ni jambo linalopelekea mpaka huwa nashidwa kutongoza sehemu ya wazi. Kama barabarani, kwenye bus, kwa ujumla ni sehemu zenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom