Nachunguzaje, nachunguza nini?

Nachunguzaje, nachunguza nini?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,596
Wapendwa wanaMMU natumaini mu wazima.

Jamani nimekuwa najiuliza sana kuhusu mahusiano. Sometimes huwa nayaona Kama ni Bahati nasibu hivi Kuwa unawezaokota dume au ukapata galasa. Najikuta naangalia Vilio Vingi vya "alinidanganya" "amenipotezea muda wangu" lakini kumbe kulikuwa na uwezekano wa kuijua nia yake tangu mwanzo. Pengine hata dalili ulionyeshwa ukapuuza au pengine tunapewa nafasi ya kuchunguza lakini hatujui tuchunguze nini........wengine tukishafunguliwa mlango basi tunaamini moja kwa moja Kuwa Huyu ndo mwema, hawezinitenda Kama mwaflani.......


Naomba tushee, ni mambo gani ya muhimu ya Kuwa makini wakati wa kuanza mahusiano na mtu?
 
hivi wema na diamond nao bado wanachunguzana...???..love is crazy...waswahili walisema ukimchunguza sana bata huwezi kumla (ila hii theory sio applicable kama una njaa)...kuna watu walizaliwa na talent ya kuficha uhalisia wao, ukishtuka ushatumiwa na watu wanasepa zao...and the otherside kuna wasioweza kuchunguza, once they fall in love, hawaangalii pembaeni wala kurudi nyuma...MBAYA ZAIDI,,,siku hizi pesa na luxuries zinamaliza kila kitu and power ya kuchunguzana inakua haipo...
 
Mtu akiwa muovu muasherati automatically utamjua tu haihitaji nguvu nyingi sana kumjua same way to good ones.Tatizo lenu moja tu.....yes moja mnacomplicate sana maisha ya mapenzi.
Maisha haya ya sasa uanze kumchunguza mtu mwenye midevu yake aliyenyoa the vuzis kwa aina zote wembe,majivu waxing sijuimachine.
Hell no.Na mkiendekeza kuchunguzana mtachezewa/mtamegana mtaachana.
Take a break life is too short kwenye mapenzi ni kuinjoy maisha kujijenga na siyo kuchunguzana kuchunguzana waachieni FBI au CIA kibongobongo usalama wa taifa.
 
katika dunia hii, moja kati ya viumbe vyepesi kuingiza kingi, ni mwanamke....

Wengi ni wepesi sana kusahau, wagumu kuchukua maamuzi mazito.
 
Dada mkubwa, chunguza kama anakupenda na kukujali. Nitarudi.
 
Excel mwambie mungu asante kwa kutuumba hivyo unadhani ingekuwaje tungekuwa hatusamehi na kusahau kama wanaume?
katika dunia hii, moja kati ya viumbe vyepesi kuingiza kingi, ni mwanamke....

Wengi ni wepesi sana kusahau, wagumu kuchukua maamuzi mazito.
 
hivi wema na diamond nao bado wanachunguzana...???..love is crazy...waswahili walisema ukimchunguza sana bata huwezi kumla (ila hii theory sio applicable kama una njaa)...kuna watu walizaliwa na talent ya kuficha uhalisia wao, ukishtuka ushatumiwa na watu wanasepa zao...and the otherside kuna wasioweza kuchunguza, once they fall in love, hawaangalii pembaeni wala kurudi nyuma...MBAYA ZAIDI,,,siku hizi pesa na luxuries zinamaliza kila kitu and power ya kuchunguzana inakua haipo...

i second u!..
 
Mimi nakuangali tuu upendo ndo muhimu hayo mengne ya uhuni, pombe nk ni rahis kujua na utaamua ufanye nni
 
Fanya kama vile mnavyotafuta saluni nzuri, mavazi mazuri, kipodozi kizuri n.k

Jua vipaumbele vyako na umtakaye aangukie katika vipaumbele hivyo...
 
Unapotafuta nyumba ya kuishi..kuna nyumba ukiiona tu unasema hii hii hata kama kodi kubwa sana au inahitaji ukarabati ili uishi.na kuna nyumba ingine hata iweje unasema Hapana..siitaki...

Nice theory mkuu, big up.
 
Kwa mtazamo wa ki Mbu;

....hii linawezekana iwapo tu mwenyewe mhusika #Anauwezo wa kujichunguza na kujiridhisha mwenyewe [pasina shaka na majibu ya] hulka na tabia zake kwanza.

....baada ya hapo ndio ataweza chungua na kuvibainisha #Vijitabia vya huyo mwenza wake na [kama] ataweza ji "accomodate" navyo au la....

Wapendwa wanaMMU natumaini mu wazima.

Jamani nimekuwa najiuliza sana kuhusu mahusiano. Sometimes huwa nayaona Kama ni Bahati nasibu hivi Kuwa unawezaokota dume au ukapata galasa. Najikuta naangalia Vilio Vingi vya "alinidanganya" "amenipotezea muda wangu" lakini kumbe kulikuwa na uwezekano wa kuijua nia yake tangu mwanzo. Pengine hata dalili ulionyeshwa ukapuuza au pengine tunapewa nafasi ya kuchunguza lakini hatujui tuchunguze nini........wengine tukishafunguliwa mlango basi tunaamini moja kwa moja Kuwa Huyu ndo mwema, hawezinitenda Kama mwaflani.......


Naomba tushee, ni mambo gani ya muhimu ya Kuwa makini wakati wa kuanza mahusiano na mtu?




#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Kuna dada nimemzimikia humunajaribu kujenga ukaribu lkn anadunda huyo, utadhani mpira ulojaa kupita kiwango:boink:
 
Cherish the Moment and Enjoy it.., hatujui kuhusu kesho.., sababu hata kama mtu anakufaa kwa sasa haimaanishi kesho hatabadilika
 
Back
Top Bottom