For sure mtu wangu. Kwa ushamba Wa watz hata uwajbikaj Na utafutaj pia uchumi hautajengwa sana. Mm natumia muda Wa kuchat AMA usku Na stress zakukataliwa AMA cku Kama leo mvua huku kwetu Na ofsin kwangu mm mtumish holiday ndio nachat.Na hii Ni % ndogo tu wanaojua matumiz ya mtandao. Walimu,wadadakaz nyumban, manes,Na maaskari wote waktambua ku chat hatuna taifa tena la wazalishash vilivyo bora. Hata waznz watatupta kiutajr pamoja Na utanganyika wetu. Wambeya wote Na wapga majungu watahamia huku