umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Habari zenu wapenzi,
Nina kitu kinanchanganya kidogo
Kuna baba mmoja nimemfahamu kama 6 years ago ni mkubwa kwangu me ni kama mwananye wa kwanza hivi,,huyu baba ni mtu ana pesa nyingi na amekuwa akinisaidia na amenisaidia hata kumpatia mdogo wangu kazi katika secta nyeti sana (kifupi anajiyoa sana kunisaidia lakini nyuma ya hapo ananitaka kimapenzi(mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda)
Huyu baba kaachana na mkewe kama mwaka umepita na ananiambia anahitaji anioe kaniahidi mambo mengi sana iwapo nitakubali anioe,,
Kiukweli kutoka moyoni sijawahi kumfeel hata kidogo yani simpendi kabisa hata akinisalimia sitakagi hata anshike mkono namchukia akinieleza maswala ya mapenzi,
Sometimes nawaza mambo ambayo amenisaidia najisikia hukumu,,lakini nifanyaje ili huyu baba aniache aache kunisumbua na asinichukie sababu sitaki hata aje ofisini kwangu lakini namuheshimu siwezi kumwambia,,anajua nina mtu lakini bado amefikia kunambia kama simtaki nitafute msichana mwingine aliyefanana na mimi nimpelekee amuoe amekuwa
Napata wakati mgumu sana najisikia vibaya
Nishaurini nifanyaje