Huyu jamaa anapendwa na kila demu

Huyu jamaa anapendwa na kila demu

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Kuna jamaa tuko nae chuo tatizo moja kila demu akimwona tu huyu jamaa anapapatika anajitongozesha hata demu flan namsomeaga raman nimnase ashafall kwa mshkaji cjui jamaa ana nn labla ushauri ili acjekufa kwa ukimwi
 
Inatokea kuna baadhi ya watu wanakuwa na pepo la ngono
 
Kuna jamaa tuko nae chuo tatizo moja kila demu akimwona tu huyu jamaa anapapatika anajitongozesha hata demu flan namsomeaga raman nimnase ashafall kwa mshkaji cjui jamaa ana nn labla ushauri ili acjekufa kwa ukimwi

Hahahahah chuo gani?
 
Ukiona hivo ujue umri wake utakua mfupi sana.Lazima atakua si Mcha Mungu.Mshauri mrudie Mwenyez Mungu.
 
Kwa hiyo nawe unatamanii au? Wawe wanakupapatikiaaaaa!!!!
 
mtoa mada anasema mabinti ndio wanaompapatikia jamaa, ila naona wengi wa wachangiaji hamkumuelewa!
Sasa inapotokea mtu unapapatikiwa na mabinti hilo si kosa lake, labda kosa litakuja kutokana na maamuzi utakayochukua kutokana na kupapatikiwa huko!!
Anachotakiwa kufanya huyo jamaa ni kustick kwa mtu anaempenda na kuachana na hao wanaompapatikia.
 
Unamwonea huruma kufa kwa ukimwi baada ya mwanamke uliyekuwa unamsotea kufall kwa jamaa????

Watu wanapata ukimwi kwa kupapatikiwa ama kwa ngono isyo salama?
 
Back
Top Bottom