Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Mimi ni mmoja kati ya watu ambao wameishi sana vijijini, si kijiji kimoja nimeishi vijiji vingi sana lakini sijawahi kukutana na mashoga.
Pamoja na kwamba watu hao muda mwingine wanasema kwamba ushoga wakati mwingine watu huzaliwa hivyo hivyo na homoni za kike.
Sasa swali langu, hizo homoni za kike zipo mijini tu? kwanini vijijini hamna mashoga?
wenzangu ambao mmeishi vijijini nadhani mtakuwa mashahidi.