Mi ni mkristo ila nafikiri hii dini ya ukristo wangefuata uislam katika suala zima la Kwa wanaume kuoa up to 4 wanawake na hii ingechangia sana kupunguza michepuko ambayo inahatarisha maambukizi ya ukimwi, maana kama tungeruhusiwa tungejiselectia vipotable vyetu vinne unavipima havina ngoma unaweka ndani hilisuala la michepuko tusingelisikia tena. I am still weighing up uwekano wa kubadili hii Dini mi nafikiri uislam utanifaa zaidi kuliko huu ukristo tunabanana kwenye kabinti kamoja tu it's not fair