The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Embu kaa ufikirie leo hii wewe mwanaume ni mwanamke halafu akaja mwanaume aliekutamani akakutongoza kwa gia ya kukupenda na blar blar kama nataka nikuoe then ukakupata kwa imani kwamba umepata mtu wa kukupa amani na furaha ya maisha. baada ya muda anakupiga chini tena bila sababu ya msingi. wewe kama mwanaume utajiskiaje ukiwa umevaa huo utu wa mwanamke.....najuajibu ni vibaya mno tena kama kufa kufa.....na tabia hii ndio inaliyofanya wanawake wengi kuwa na tabia ya kua na mahusiano mengi maana hajui ni wapi pana maanisha....pia ni katka kujiwekea security. NAWASHAURI WANAUME WENZANGU TUSIWE TUNAWADANGANYA HAO WENZETU KWA KUA MWISHO WA SIKU UTAMFANYA AUMIE NAKUBAKI NA MAUMIVU HUKU IMANI IMESHATOWEKA.
NA NYIE WANAWAKE KUWENI NA MOYO WA UVUMILIVU MSIWE WARAHISI PALE MTU ANAPOKUTONGOZA KWA KUA NI NJIA MOJA WAPO YA KUPIMA NIA NA DHUMUNI LA MOYO WAKE. WENGI WANAOKUJA KWA NIA YA TAMAA SIO WAVUMILIVU WANAKUJA UKIWASIMBUA BAADA YA WEEK ANACHANA NA WEWE HAPO UNAJUA NIA YAKE JAPO SIO 100%.