Goli moja tu..

Goli moja tu..

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
217
Wana jamii hebu mnipe msaada ni mda mrefu sasa nimekua na uwezo wa kusex goli moja tu , hata nifanye nini siwezi kuendelea japo nimekuwa na kawaida ya kufanya romance ya muda mrefu , nikaingia kwa ulimi mpaka niliye naye anakuwa hoi na kufika kileleni zaidi ya mara moja , lakini mie kimoja tu. ! Mara yamwisho niliweza kupiga goli nne ilikuwa mwaka 1996 ! Sasa nshakuwa mtu mzima watoto wawili.. Japo smkwazi my wife kwa hili moja lkn me napenda niue 4 , 5 per night , msaada wakuu
 
Hilo goli moja linachukua dk/masaa mangapi??
 
kula vyakula vinavyoongeza utengenezwaj mbeg kwa wing.alaf pia weka ratiba ya kugegedana cyo kila cku lakin pia inaonesha mkeo cyo m2ndu yn ukishapiga moja2 yeye hakuhamasish kuendelea.mwambie awe anakuchezea zile sehem zinazoamsha hisia zako haraka
 
Sana sana dk 20 , 25 mana huwa najitahidi kulizuia kwa kuchomoa likiwa linakuja !

Je, baada ya kufunga hilo bao la "messi", mkeo anaonekana kurudhika au anahitaji game iendelee???
 
Jitahidi banaa ufikishe angalau viwili.
 
goli moja la nguvu linatosha, ushindi mzuri tu huo, goli nyingi halafu maji tu si ishu.
 
Anaridhika sana tu

Unajuaje kama anaridhika? mliliongelea au unahisi tu kuwa "kwa game hii ameridhika"

Na kama anaridhika, kwa nini utake zaidi? Kwani point ya kufanya tendo la ndoa ni nini? si kuridhishana?
 
Sana sana dk 20 , 25 mana huwa najitahidi kulizuia kwa kuchomoa likiwa linakuja !

kwan ukishapiga hlo bao vp mkeo anakuwa hajaridhika?? Kama unamfikisha haina haja ya kutafuta za ziada..... Yasikuchanganye maneno ya kwenye mitandao wote humu kelele tu....
 
Magoli 5 wewe ya nini?
Mkeo anahitaji golo 1 tu la maana litakalifungwa kwa ustadi wa hali ya juu afike kilele cha kibo na mt evarest juu kisha alale hoi....
 
Hmm,nimeipenda hiyo staili ya kuchomoa kabla hujamwaga ili usimalize mapema!!! sasa kuhusu kurudia tendo mshirikishe mkeo kwanza mkuu alafu jaribu kula sana matango! mi nikila yale nakuwa Super Human.
 
Back
Top Bottom