Tofauti kubwa kati ya Wadada na Wakaka

Tofauti kubwa kati ya Wadada na Wakaka

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,326
Reaction score
7,807
STORY ZA WASICHANA KATIKA SIMU

Mary... Hallow mpenzii
Lily.... Niambie my dear
Mary.. Pouwaa za siku jamani
Lily.... Nzuri rafiki Yangu wa damu
Mary.. Jioni nakuja kwako tule Na kunywa japo wine wanguu
Lily..... Nakusubiri kwa hamuu mpenziiii

BAADA YA KUKATA SIMU... KILA MMOJA ANAWAZA

Lily..... Huyu mchawi wa kike Leo anataka kuja kwangu wala hanikuti.
Mary... Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu nani aende!!!

STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU

John.... Niaje we mbwaa
Sam.... Pouwa kichaa wanguu
John... Upo wap -------- wewe
Sam... Niko hom, we ---- Uko wap?
John.. Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata
Sawa... Pouwaa we ms**nge nakusubiri

BAADA YA KUKATA SIMU....KILA MMOJA ANAWAZA

John... Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time
Sam.... John bwana akiwa Na pesa lazima anitafute mwanaeee.

TAMBUA.. Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana Kwa maneno lakini ni Kwa nje tu!! lakini WANACHUKIANA

WAVULANA unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lakini WANAPENDANA

UWONGO AU UKWELI??
 
tumblr_mk0rztMNVX1s8ua5zo1_r1_500.jpg
 
mimi naamini huwez kumchukia mtu bila sababu.halafu kwa nini hii kitu 'wanawake wanachukiana' inakuzwa sana na wanaume? hivi sisi tukichukiana kuna kuna kitu mnagain?
 
mimi naamini huwez kumchukia mtu bila sababu.halafu kwa nini hii kitu 'wanawake wanachukiana' inakuzwa sana na wanaume? hivi sisi tukichukiana kuna kuna kitu mnagain?

Mnachukiana kweli inabidi ukubali tu.
 
hii inatokana na kwamba mwanamke anauwezo wa kucheka hata na adui tofauti na mwanaume.
 
Moyo ni fichio la siri,anakuchekea mdomoni rohoni anakuchukia
 
siwez kukubali eti kwa sababu ww umesema! nimesema kama binadamu naweza kumchukia mtu kwa sababu fulan! lakini si eti ni kwa sababu ni mwanamke mwenzangu.
Mnachukiana kweli inabidi ukubali tu.
 
mimi naamini huwez kumchukia mtu bila sababu.halafu kwa nini hii kitu 'wanawake wanachukiana' inakuzwa sana na wanaume? hivi sisi tukichukiana kuna kuna kitu mnagain?

Tambua tatizo kwanza.."unapinga"?
 
hii kitu ina ukweli ndo maana hata wanawake kujitambulisha katika uhusiano wa kimataifa huwa hamna framework au theory inayosimama na wakaikubali kwa pamoja (radical feminists,standpoint feminists,liberal feminists,marxists feminist,postcoloniality feminists etc),,,,zinaoverlap each other,,,,hawakubalian hata katika kuhitaji demands zao. ni shida kwa kweli
 
siku hizi hata wanaume(baadhi) wamekuwa na walakini katika mahusiano yao na wenzao...
 
siwez kukubali eti kwa sababu ww umesema! nimesema kama binadamu naweza kumchukia mtu kwa sababu fulan! lakini si eti ni kwa sababu ni mwanamke mwenzangu.
Hata ukatae ukweli wanawake wengi ila sio wote hawapendani


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom