Sijawahi kufika hapa toka nizaliwe

Sijawahi kufika hapa toka nizaliwe

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,076
Katika pitapita zangu zooote za miaka kadhaa nddani ya JF nilikuwa najiona mwenyeji kumbe kuna chocho sijawahi kuingia, sasa leo nilikuwa sina hili wala lile na sioni thread ya kuvutia nikaingia MMU (hapo huwa napitapita), napo sikuona cha maana, mara nikaona haka ka sub-forum kamekaa kizembezembe hapa juu,...I was like, WTF is this! akili ikaniambia hebu ingia ushangaeshangae (nilikuwa na uhakika 90% hakuna cha maana)...he, si nikakutana na mamia ya thread, tena siyo thread za watoto wa shule, thread kutoka kwa prominent members ambao nawaamini kabisa, tena wadada na wamama wa haja, wenye kujielewa, kweli nimeipenda hii. Sijajua kama mambo ya humu yako serious kama yanavyoonekana ama la, lakini kama kweli yapo serious hivi basi kwa hakika niwapongeze wakina Max kwa kazi nzuri. Hongereni jamani dada zangu na wadogo zangu, kwa maana ni wachache sana wenye uwezo wa kusimama na kusema nataka kitu flani, safi sana.
 
Hahaha mkuu yaani umenichekesha sana etui ka sub forum kamekaa kizembezembe sana lol!!
 
Back
Top Bottom