Wanawake wengi wanavitambi, hii inasababishwa na nini?

Wanawake wengi wanavitambi, hii inasababishwa na nini?

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
826
Reaction score
1,525
Wadau naomba nijitokeze kwamara ya kwaza katika jukwaa hili, hili jambo nimeliona sana na kwakweli tobe honesty mimi nawachukia sana wanawake wenye vitambi (kimapenzi na si vingine) lakini sasa ndio hao wako wengi zaidi ya asilimia 70. toa maoni yako ili tuwasaidie dada zetu wapunguze vitambi mana wanakera sijui ni lifestyle sijui ni nini?
Tujadili...
 
attachment.php
 

Attachments

  • Capturuue.PNG
    Capturuue.PNG
    104 KB · Views: 1,722
unakuta mwanamke mrembo lakini bia 8 kitimoto daily, viepe kwa sana u guys hembu mjihurumie ukikosa wa kukuoa utalalamika?
 
Kitambi ni ugonjwa wa 'MAZOEA'.Inasababishwa na vyakula wanavyokula,nguo wanazovaa muda mwingi zinabana na kuufanya mwili kushindwa kufanya kazi yake inavyotakiwa.
 
Mambo yetu yanatunyookea ndo maana tunaota vitambi, na mambo yakizidi kuwa poa zaidi jiandae kutuona tunaota vipara....

sasadadaangu hivi kunaufahari gani wa kuharibu apearance yako mana hapa sio swala la mambo kunyooka coz kuna wadada wengine mambo yao kawaida lakini matumbo makubwa samtymz yamebwebwea nadhani hapa kunakitu zaidi ya mambo kunyooka hicho ndio tukiseme ni nini hasa!
 
Wadau naomba nijitokeze kwamara ya kwaza katika jukwaa hili, hili jambo nimeliona sana na kwakweli tobe honesty mimi nawachukia sana wanawake wenye vitambi (kimapenzi na si vingine) lakini sasa ndio hao wako wengi zaidi ya asilimia 70. toa maoni yako ili tuwasaidie dada zetu wapunguze vitambi mana wanakera sijui ni lifestyle sijui ni nini?
Tujadili...

Madawa ya kuchoropoa mimba.
 
sasadadaangu hivi kunaufahari gani wa kuharibu apearance yako mana hapa sio swala la mambo kunyooka coz kuna wadada wengine mambo yao kawaida lakini matumbo makubwa samtymz yamebwebwea nadhani hapa kunakitu zaidi ya mambo kunyooka hicho ndio tukiseme ni nini hasa!
Labda wenzangu, mi baada ya mambo kunyooka ndo nimeota kitambi
na naona dalili za upara, kama una namba za Rooney nisaidie nimuombe dawa
 
Kwa hiyo wasile au??

i mean wale kwa kuangalia aina ya vyakula na mahitaji ya mwili pamoja na mazoezi kiasi mboga za majani kwa sana matunda juic kdogo, ...maoni yangu
 
Back
Top Bottom