Bora nikimbie tu, siangalii nyuma

Bora nikimbie tu, siangalii nyuma

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Huyu mpenzi hata kuosha sijaosha kanipiga mzinga ambao hata akimuomba baba yake mzazi aliyemzaa hawezi kuumpa. Hivi nyinyi wadada kuna chuo cha kupiga mizinga huwa mnajiunga nacho? Kuamkatalia nimeshidwa, ila ataisoma namba.

Mizigo mingapi nimeikosa bhana sembuse yeye!
 
Hahahah sizitak mbichi hizi!..mambo ya sungura hayo,ila mizinga bana ni kawaida kwenye jamii yetu
 
Ivi vitu watu hatusemagi bhana. Unakufa tu na tai shingoni mdogo mdogo kama UKAWA na posho za Bunge la Katiba.
 
Huyu mpenzi hata kuosha sijaosha kanipiga mzinga ambao hata akimuomba baba yake mzazi aliyemzaa hawezi kuumpa. Hivi nyinyi wadada kuna chuo cha kupiga mizinga huwa mnajiunga nacho? Kuamkatalia nimeshidwa, ila ataisoma namba.

Mizigo mingapi nimeikosa bhana sembuse yeye!

Dogo mambo mengine unakula jiwe unaanza mbele. Haya masuala katika kumi ukipata hata mbili ni mafanikio tu. Kila kitu humtokea binadamu kwa sababu maalum!
 
Mkono mtupu...................

wewe umeanza kwa kujipromote kwanini mzinga usiwe mkubwa?? siku hizi ni za kupeana za uso tu,ukitaka kutumia

sharti nawe utumiwe.
 
Alijua akikuomba hela utakimbia, misheni akomplishid.
 
Mzinga?? kiasi gani au unamkono wa birika
 
Kuna mzinga nilipigwa juzi kati, nilipata malaria ya kichwa
 
Utasikia,,elfu tano,au 50000!Wakija bila kufanya usafi kule,mnasema ohoo jamani nyoeni,vaeni pichu nzuri!Mkiombwa hela za gillete,mizinga hii jamani!Ebooo!

ndo tatizo la ninyi viumbe amridhiki aisee
 
Huyu mpenzi hata kuosha sijaosha kanipiga mzinga ambao hata akimuomba baba yake mzazi aliyemzaa hawezi kuumpa. Hivi nyinyi wadada kuna chuo cha kupiga mizinga huwa mnajiunga nacho? Kuamkatalia nimeshidwa, ila ataisoma namba.

Mizigo mingapi nimeikosa bhana sembuse yeye!

naomba nijiunge nae!!,wanaume kama nyinyi mnaopigwa mizinga live live huku mnaiona mnashindwa kuikwepa ndo wazuri!!..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom