Kuchati bila kutongozana inawezekana?

Kuchati bila kutongozana inawezekana?

Marapai

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
315
Reaction score
377
Habarini wanajamvi! Leo katika pitapita zangu ni kawa napiga story na jamaa yangu akadai kuwa eti HAWEZI KUCHATI NA DEMU BILA KUMTONGOZA either iwe humu Jf au fb, whatsup nk. Swali kwetu wanajamvi inawezekana kuchati bila kufika stage ya kutongoza? Wanawake mnafurahia mkitongozwa tongozwaa? Hebu tufunguke wana MMU wanaume kwa wake! . Karibuni!
 
Inategemea na mtu unayechat naye yupoje
 
Mmmh! Ngoja waje waseme wenyewe himidin,Excel hivi ni yakweli haya?? Mnaogopwa sana nyinyi
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wengine wehuu ukichart nae tu anaona tayari we ndo mpz wake hata kama umeoa au umeolewa huwa najiuliza hvi Halmashauri za vichwa vyao zipo njema kweli?
 
Sipendi kuchati chati mie
kutwa kutwa kunimiminia mimeseji umekula, umeoga, umelala, umevaa nini hapo
nkikuambia nimevaa khanga bila pichu si ndo mwanzo wa kuomba papuchi

Hahaaa asante sana so unamaanisha ktk kuchati hamna cha maana zaidi ya maswali ya .................
 
Chart kama hizo zinakua hazina mada just kuunda group then mnaanza kuulizana umekuka umalalwa au umelalwa? Wao wenyewe hawana la msingi
 
Hahaaa asante sana so unamaanisha ktk kuchati hamna cha maana zaidi ya maswali ya .................

Hata kama kutakuwa na mengineyo ila najua mwisho utakuwa ndo huo tu
kaa ni fesibuku basi mtahamia video calling kuoneshana nyuchi tu
 
Kuna watu wengine wehuu ukichart nae tu anaona tayari we ndo mpz wake hata kama umeoa au umeolewa huwa najiuliza hvi Halmashauri za vichwa vyao zipo njema kweli?

Hapo sasa mkianza tu anajimilikisha kama wake vile ndo mana huwa hamjibu inbox copy that madame
 
hivi huwa mnachatiga nini jamani, nielemisheni mwenzenu mie nahisi niko nyuma ya wakati
 
mimi sifurahii, kuna wanaume yaani unaona anakutongoza ilimradi tu nae aonekane anajua kutongoza. mphewwwwww!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom