Utafanyaje ukiambiwa.......

Utafanyaje ukiambiwa.......

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,596
"This marriage/relationship is broken...... Fix it".....,,,,,, je utafanyaje"....... Ukimwaga Kama mwanaume/ mwanamama......
 
You fix it,judging on what makes the relationship/marriage broken!!When you say broken,in what manners?
 
Sijakuelewa,labda ninausingizi,acha nilale kesho nitaliamkia suala lako.
 
Ntashukuru kuwa finally nimeambiwa live bila chenga baada ya pindapinda za muda mrefu. Wakati mwingine katika mahusiano yenye misukosuko na mateso mtu hutamani upewe tu jibu la haraka ili ufanye mengine ya plan-B
 
Hapo najua bado nina nafasi nyingine tena! Na huwa najitahidi kumaliza tatizo haraka then tunaendelea. Kichwani kwangu huwa najiaminisha kama barabara basi tumemaliza tambarare so tumekutana na mlima au chochote kinachofanya safari iwe ngumu, najitahidi tupite hapo nikiamini tutakutana na njia nzuri mbele
 
Unapokuwa na mahusiano yasiyoeleweka, kila siku ugomvi over everything ......
Mnakaa mnajadili na kujua tatizo nn kisha mnakubaliana kutatua sababu zinazopelekea ugomvi wenu kisha mnaendelea na maisha yenu ya furaha. Kama kutakua bado hakuna dalili ya maelewano unamwambia mwenza mpeane muda mjitafakari


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Compatiable vipi sijaelewa huenda ikawa nasisi tupo kwenye aina za mahusiano

Kama ugomvi ni mwingi kuliko furaha maana yake hamuendani kwasababu hakuna maelewano mazuri,hakuna kusikilizana!kwenye mahusiano yoyote lazima kuwe na adjustments ili mkutane katikati na ksma hiko kitu kimekosekana ujue incompatibilities ni nyingi!
 
Kama ugomvi ni mwingi kuliko furaha maana yake hamuendani kwasababu hakuna maelewano mazuri,hakuna kusikilizana!kwenye mahusiano yoyote lazima kuwe na adjustments ili mkutane katikati na ksma hiko kitu kimekosekana ujue incompatibilities ni nyingi!

Nimekuelewa
Je kama mmoja wenu ni wivu unampelekesha nakupelekea kitu kidogo kuwa ugomvii kila siku
 
Back
Top Bottom