Happy Birthday Nitonye

Happy Birthday Nitonye

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini

Leo ni siku maalum ya kukumbuka ambayo hupatikana
kwa nadra sana kwa mwanadamu ambaye amezaliwa
na mwanamke, siku ambayo Mungu umuandaa mtu
akiwa tumboni mwa mama yake na kuumumba.
na kisha baada ya miezi 9 huzaliwa na kutokea
duniani.

Marafiki wa jf leo ni siku maalum ya NITONYE
kwani ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwake
hivyo basi kwa ppamoja na upendo wetu
tumtakie kheri na maisha marefu bestito huyu
weka maneno yako ya furaha na upendo hapa

nami namualika home kwa function ndogo sana
jioni ya leo ila kwa sasa apokee kitu hichi


ncheke.jpg

kwa furaha zaidi akiona ataenjoy gift hii
 
Happy birthday brother nitonye
Mungu akujalie maisha marefu.
 
Last edited by a moderator:
0008.gif
0008.gif

nikutakie siku njema kabisa dear .
funny enough umezaliwa siku moja na mtu mmoja
muhimu sana katika maisha yangu.
jaribu kufurahia maisha kila dakika
japokuwa ni vigumu saa nyingine.
tafuta amani moyoni mwako.
ingelikuwa tunajua ni nini kinakuja then tungepanga
cha kufanya maishani kwa vile hatujui basi tafuta
amani, furaha na upendo.
be blessed dear .

0017.gif
0011.gif
0017.gif
afrod.

​
 
Back
Top Bottom