Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Wakuu,
Unapokuwa umeachana na mpenzi wako halafu siku akikuona umempata mwingine,au akakuona unakatiza na mtu ambaye hata si mpenzi wako halafu anakupa hongera kwa kumpata mpenzi mpya huwa inatoka moyoni au kuna maumivu + wivu?
Au kama ushawahi kumwambia ex wako hongera imetoka moyoni au unaumia?