Ni mgogoro wa kifamilia, baba hana kazi, mama ni mjasiliamali ndo mwenye kuitunza familia na kusomesha watoto, tatizo kubwa baba hataki mke wake afanye kazi hadi usiku, akichelewa anafungiwa nje...
Nilikuwa na uhusiano na mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 lakini niliachana nae baada ya kugundua ananisaliti baada ya yeye kukiri kunisaliti kiukweli niliumia sana ila niliamua kumwacha maana...
mi nipo hapahapa moro,ni handsome 24 years na i wish to have mtoto mmoja wa kike mzuri umri kuanzia miaka 18-24 wa hapa hapa tufahamiane tukipendana tuwe wapenzi,aliye seriouz ani pm tufahamiane...
Yaani raha inayopatikana humu haina mfano naweza nkaitegorize ktk 2nd place baada ya raha ya mgegedano....
Kuna watu humu ndani wakianzisha thread basi ivo vituko na hoja za humo ndani me mbavu...
Tabia za wasichana za makuzi yao,
Kati ya miaka 18 to 20 = Wapowapo tu. Wanapenda kuishi katika dunia ya starehe kuliko kupanga maisha yao ya mbeleni.
Kati ya miaka 21 to 25 = Wanaota sana...
Ukiuliza kwanini unanipenda
Ni swali ya kimahaba au kiimanii
Maana kila nimulizapo mpenzi wangu hilo swali anakuwa mtata hata kutaka kuachana je hii ni sawa
Nisaidieni,
Nilikuwa na kijana ambaye tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka na nusu, sasa tumekorofishana kutokana na tabia zake ambazo mimi siwezani naye japo nimemvumilia na kumshauri...
Wapendwa wana MMU, za ijumaa?
Jana nlileta thread inayohusu mada kama hii ila kwa upande wa wanaume, leo ntagusia wanawake.kama hukuiona ya jana ipo hapa: Kwa wanandoa wanaume: Jinsi ya kukarabati...
Habari wana MMU...
kipindi cha sikukuu(weekend ndefu) nikadondokea Mess ya jeshi maarufu sana mjini hapa(kisiwani kwa wazee wa ukawa) kupoza koo...
Baada ya chupa kama nne hivi akaja mhudumu...
Nimeona niweke link ya hiki kitabu. Ni kizuri so kwa wanawake watakao kua interested.. Pakueni hapa
act like a lady think like a man pdf - Google Search
chukueni option ya kwanza, juu kabisa for...
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.
pamoja na kwamba sijaolewa ila sitomfikisha mume wangu kwenye kadhia hii.
Iko hivi:
baba anaendesha gari nzuri (Harrier), ana nyumba nzuri na kubwa, second line...
Habari za mliko kwa wakati huu???
bibie sina mengi zaidi ya kuwakumbusha kuwa ni kwa neema tu kuifikia siku hii tukiwa hai.
Basi na tuwakumbuke wenye shida na matatizo mbalimbali kama...
hivi umeshawahi kuwa mwanamke mpenzi aliekuzidi umri...mfano unaweza ukawa una miaka 23 yeye ana 30 au una 30 yeye ana kama 40...au 35....kuhusu wanawake aina hii sii wote bali asilimia kubwa wako...
hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka...
Habari zenu wadau.
Hivi ni kwa nini mara nyingi inatokea endapo utamwacha yule mwenza wako ambaye mmesota sanaa kimaisha then baada ya mambo kukuendea vizuri ukaamua kumuacha na kwenda kuanza...
Kwa kawaida tukio lolote likishatokea katu hatuwezi kulibadilisha, hiyo ni moja, lakini la pili ni kwamba tukio likishatokea ni sawa na mzoga, sidhani kama kuna mtu kati yetu anaweza kukesha usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.