Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nikiwa nyumbani nikitazama TV mara likapita tangazo la condomu "Dume", mwanangu wa kiume 6 years akaniuliza, eti baba dume ni nini? Nikakaa kimya huku wageni tuliokuwa nao sitting room wakishikwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
nilipita maskani moja leo jioni (maskani ya vijana)nikakuta mada ya mchepuko salama kama ifuatavyo kuwa na namba ya simu ambayo wife/mume hataijua hii uitumie kuwasiliana na mchepuko nunua...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, leo ni siku ya kucheza muziki duniani. Hivyo Jitahidi ucheze hata kidogo ikizingatiwa kuwa hii siku imepangwa mwisho wa mwezi.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa wana MMU wenzangua. Ni jioni nyingine tena napenda kuwashiriksha juu hili tatizo la Mgogoro kati wa maisha ambao huwakumba watu wengi walio katika kipindi cha mpito yaani kuhama kutoka...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Natumaini wengi wetu humu tupo kwenye mahusiano ya kimapenzi au ndoa kwa ujumla..,yapo mambo mengi ambayo wanaume hamyapendi kwenye mahusiano yenu yanayofanywa na wenzi wenu...
0 Reactions
76 Replies
10K Views
Jamani za leo bandugu, Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya...nimechoka mmmmmmhhhh.
0 Reactions
86 Replies
24K Views
Habarini wanaMMU. Ili mapenzi ya dhati kuwepo, lazima kuwepo na physical attraction kati ya mke na mme? na je, mapenzi ya dhati yanaweza kuexist bila physical attraction? (hapa ni kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huwa nasikia watu wanafanya mapenzi kwa njia ya simu, je mwana JF hususani mwana MMU umewahi kujaribu njia hii na ukafika on the peak...? Na wanawake pia huwa mnafika kule kwa njia ya simu tu...
0 Reactions
87 Replies
24K Views
Habari zenu wadau wa MMU. Naona jukwaa limevamiwa na watoto wengi ambao wanaomba ushauri mambo madogo madogo ambayo kwa akili ya kawaida unaweza solve bila msaada wa mtu. Tukiachana na...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Habari watu wa humu ndani, Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano. Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote...
0 Reactions
84 Replies
10K Views
Nimeamua niokoke sasa,mapenzi basi mibaba inanitamani tu nimefikiria sana mie bado mdogo sna,nikiendekeza starehe ntakufa mapema naichukia mibaba yote inayonisumbua kwa pesa zao nawachukia kutoka...
2 Reactions
128 Replies
11K Views
Ndoa ni ya kanisani na Umeishi na mkeo kwa miaka mnne na kubarikiwa kupata watoto wawili. Ghafla unagundua mkeo ni mshirikina kwa kuwasiliana na waganga ili ndugu zako wathurike tena kwa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa moyo mkunjufu kabisa, Nawapongeza wasichana wote above 18+ ambao still ni mabikra ambao ni wanachama na wapenzi wa JF. Hamna watu wengine wazuri kuliko hawa wasichana. Tafadhali, kunyweni soda...
4 Reactions
73 Replies
6K Views
<font color="#0000cd"> Hivi denda ni nini kama siyo kunyonyana ndimi kwa wapendanao? Kwa nini watu wazima wako tayari kunyonyana ndimi na hata kuhatarisha maisha yao.... Jibu ni kuwa wanapendana...
21 Reactions
140 Replies
53K Views
Nimesikia sana maneno maneno ya kuwadharau na kuwaponda wasichana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea. Nilimsikia kijana moja akisema, msichana mwenye miaka zaidi ya 30 anaolewa na...
35 Reactions
84 Replies
10K Views
Wives uleta shida katika familia zetu na ukiwasikiliza sana unapotea P square naona tatizo lao kubwa ni huyo mwenye mke aliye owa juzi juzi Kabla sijaliongelea hili na-declare interest kuwa mimi...
20 Reactions
140 Replies
12K Views
Mapenzi siku hizi yamepoteza ladha kama sio uhalisia. 1.Mapenzi yanekuwa ya kifacebook mnapongezana kwa kulike na mnapongombana au mnawasiliana kwa kucomment. 2.Mkitakakuonana mnatumia picha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nakumbuka ni muda mrefu toka nilipoleta thread yenye Title "MAMA MKWE ANANING'ANG'ANIA". Kama wengi wenu mlivyonishauri,niliupokea ushauri...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu nimegundua hamna mstari wa mwisho kwa kila moja katika mbio za kimaisha Usafiri wetu ni tofauti na muda wetu ni tofauti. Kwa mfano, mtu moja anamaliza chuo akiwa na umri wa miaka...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalaaam wana mmu..share wth me the story of the women i will always love and respect.. I clearly remember it was after orientation week that nilizoeana na uyu dada (ofcoz m hua n mcheshi na...
12 Reactions
121 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…