Tangu niwe na akili za kujitambua mimi ni nani nilikua na ndoto...ndoto yangu ilikua hivi "when I turn 25yrs,ts when I wish to be in strong reletionship and when i wil get marriade too"
This...
"Wanaume wanaokimbiwa na wachumba/wapenzi wao hawana skills za kuwamaintain, kuwaentertain, kuwahandle, kusocialize na kucommunicate nao, they are simply lazy, ignorant and useless enough to be...
Habari za mchana wa leo wanajamvi.....
Katika utamaduni wetu Watanzania tumezoea kupeleka zawadi mbalimbali kwa maharusi, zawadi hizo zinaweza kuwa ni pesa au vitu vya thamani. Ila kuna uvumi...
Wadau samahani, najua leo ni siku ya kazi! Nimeangukiwa sijui niseme na bahati ya mtende au balaa!Saa 10 usiku wa leo mrembo mmoja ambaye nimemsotea zaidi ya miaka 3, kanitumia sms kwa WhatsApp...
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.
Habari zenu wana MMU???
Baada ya kufanya utafiti wangu kwa zaidi ya mwaka mmoja,nimegundua kuwa wadada wa JF ni hatare kuna 6*6 ,wanapokuwa anga hizo hupenda sana kujituma na kuhakikisha furaha...
Nawapenda wana jf wote ila kuna jamaa alikuwa mkorofi lakin nmefurahi baada ya kuadabishwa na jf si mwingne ni Mgirik pumzika na ban yako baba utatukuta na furaha yetu sisi.
Nianze kwa kutoa kisa cha kweli then niwashauri wanaotafuta wachumba.
Siku moja jeshi la Uingereza lilikuwa kazini baharini na wakaishiwa maji ya kunywa. Mkuu wa kikosi akapiga simu nchi kavu ili...
Wana JF, ushauri unahitajika. Nimeoa kwa muda wa miaka 7 sasa mke wangu ni kutoka kanda ya ziwa, kwamuda wote huo sikuwahi kukaa na ndugu wa mke wangu hata mmoja zaidi ya mimi kuwatembelea wao...
Napenda kujua nini hasa tatizo kwa Mabinti wa Siku hizi huwa hawawapendi Mama wa Mme wake, Nina Mfano hai mingi tu, Kijana unaishi vyema na upendo tu na ndugu zako huko especially Mama, Baba, Kaka...
1. Usiolewe kwa sababu umechoka kukaa kwenu, kwenu sio mahabusu kama umechokaa kukaa kwenu kakae kwa jirani.
2. Usiolewe kwa sababu umri umeenda, umri ni tarakimu tu hizo.
3. Usiolewe kwa...
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita.
Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa...
Mimi ni binti nilichelewa kidogo kuolewa nilipoolewa nilimkuta mume wangu na mtoto wa miaka saba,ambe bado alikua anaishi kwa mama yake alioolewa na mtu mwingine.baada yakufunga ndoa tu tulifanya...
Mapenzi, Mapenzi, Mapenzi. Kama kungekuwepo na chuo kinatoa shahada na kanuni halisi za mapenzi basi vijana wote ingekuwa MANDATORY kupata hiyo shahada. Mimi ni 'ME' wa 27yrs...
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.
Guys, kuna...
Hakopesheki tena, ndani kabaki na godoro shuka mto na nguo chache, anatembea na ufunguo wa vx v8, anadaiwa na wapangaji wote, mwenye nyumba, mangi dukani, barmaid, bodaboda, changudoa 3, muuza...
Habari za mwisho wa mwezi?
Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo...
Niwasalim wana MMU...
Bila kuleta uswahili nimalizie kimkasa changu cha msichana niliempenda kuliko wote na bado nililazimika kumuacha.....
Nakumbuka karibu chuo kizima tayari kilikua kishajua...