Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

Hun

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
110
Reaction score
106
Tuna mtoto, hatujaoana, tuliachana kwa muda wa miaka miwili na nusu, sababu ilikuwa ni mistreatment/abuse.
hapo katikati kulikuwa na mushkeli sana wa kupigana na kupelekana polisi na kusemeleana kwa ndugu jamaa na marafiki mpaka wazazi.

alisusa kumuona mtoto na kumuhudumia kwa kipindi chote hicho. tumekutana tena mwaka huu mwanzoni, akadai anakaribia kumtolea mtu mahari, na mpaka sasa wana miezi mitatu tu.aliniomba tena turudiane nikakubali. tukakubaliana mi nimuache niliyenaye na ye amuache aliyenaye na process za mahari zisitishwe. nikafanya upande wangu. ye kumuacha hataki, lakini process za mahari zimesitishwa. anasema yeye kama mwanaume hawezi sahau nilivyompeleka polisi, ananipenda lakini hawezi kuwa na mimi.

nimefikiria nikaona kama vile amefanya revenge, nimeumia sana,nina maumivu makali moyoni sijawahi kupata,nikikaa nalia peke yangu. i think i need to talk to a psychologist nirudi kwenye hali ya kawaida.i left the guy i was with, he is still with his woman, but saying that he is not happy because he isnt with me ila hawezi kuwa nami coz hajasahau. nikikaa kimya lazima anitafute kupretend anaulizia mtoto.

how do i deal with this pain please people advise/comment. i wish i could go somewhere far, but then again nawaza why should i do that because of one person. but why did he do that? ndugu zake kuchwa kunitafuta kutaka niwe close nao, nao wananifanya iwe ngumu mimi kumsahau. nifanyeje?
 
Kuwa karibu na watu,ishi kwa furaha leo hakuna maisha mengine..
 
...I think pamoja unampenda labda ww mwanamke MKOROFI WW... I guess smthing....may be na kishule umesoma so una mcontrol mwanaume utakavyo...though this is ONE SIDE OF STORY....but kama ww ni mkorofi....umeumia...
 
Fanya maamuzi na usimamie hayo maamuzi yako.
Utapelekeshwa kweli kama utakosa msimamo kwenye maisha yako.
Pole kwa maumivu.
 
Wameamua kuchezea hisia zako..... Hao wameamua kukuteketeza kiivyo wanakuduwaza kimawazo ili ushindwe kupanua mawazo yako kutafuta mwanaume mwingne kwa kuamini kuwa wanakupenda na kukujali. Wangekuwa wanakupenda wangewakalisha ili mmalize tofauti zenu ili muendelee kuishi pamoja au wangemshawishi mtoto wao akurudie lakin hapo wanakupiga chenga ya mwili a.k.a changa la macho a.k.a decoy...... Shtuka angalia maisha upande wako utakuja kushtuka mda umeishaa.....ohooo!
 
ImageUploadedByJamiiForums1398836652.462666.jpg
 
...I think pamoja unampenda labda ww mwanamke MKOROFI WW... I guess smthing....may be na kishule umesoma so una mcontrol mwanaume utakavyo...though this is ONE SIDE OF STORY....but kama ww ni mkorofi....umeumia...

mi sio mkorofi hata yeye anajua, na kishule yeye amesoma kuliko mimi. nilimuacha kwa kuwa alikuwa akinipiga, emotional abuse na mengineyo ambayo nilishawahi kusema kwao. nilimpeleka polisi baada ya kuachana maana alikuwa akinifanyia fujo na kunitishia kuniua akinikuta na mtu, na akija nyumbani kwetu anatishia kumwaga petrol achome nyumba.
 
^^
Usifanye chochote kwa sasa! Jipe muda wa kuyakusanya pamoja maisha yako. Uchambue la kuamua.
Kila mmoja hupitia nyakati ngumu lakini waliofaulu vema ni wale walioishi na utulivu

Ulikosea mno kurudiana nae...sasa run and run
 
^^
Usifanye chochote kwa sasa! Jipe muda wa kuyakusanya pamoja maisha yako. Uchambue la kuamua.
Kila mmoja hupitia nyakati ngumu lakini waliofaulu vema ni wale walioishi na utulivu
^^

msg nzur sana..... Habar ya kaz mheshimiwa
 
Ulikosea mno kurudiana nae...sasa run and run

sahihi kabisa inaonesha huyo jamaa yake anahasira naye sana mpaka anaamua kumsambaratisha kisaikology Hun shtuka hvyo ni vita baridi ya mrusi na mmarekani. Ukiendelea kukubaliana nao utajikuta umri umeshasonga na bado upo dilema
 
Last edited by a moderator:
sasa hayo yote ulifikiri atakuwa kabadilika?! u shud never turn back..uv done a grave mistake ila ndo maisha,sali Mungu akupunguzie maumivu uendelee na maisha yako..maisha kujifunza
 
Pole mama hayo ni mapito kumbuka kumuomba MUNGU ili akamilishe furaha yako kwa ndoa yenye kibali mbele ya macho yake using'ang'anie MTU ambaye ni stress kwako.kumbuka kuzaa naye so sababu ya kuwa naye, kujamiina naye so sababu ya kuona ni upendo wa kweli utakao mbinguni Mungu anaweza dumu katika maombi utapata mume bora
 
.......#MsukuleWaMapenzi !

Nitakupa short cut ya utambuzi na kujinasua katika "mawenge" hayo UKITAKA.

Mosi. Orodhesha mazuri yote ya huyo mzazi mwenzio.

Pili. Orodhesha mabaya yote ya huyo jamaa anayekufanya kikarikenya aka Joyce Wowowo!

Tatu. Compare the Difference, tafakari, chukua hatua.

......kama bado una hati hati, jifanyie hiyo analysis wewe mwenyewe, anzia na;

Mosi, yepi unayoyataka na katika mahusiano ya Mapenzi.

Pili, yepi unayoyahitaji katika mahusiano ya Mapenzi.

Tatu, yepi uliyoweza jiridhisha na kujitosheleza nayo bila kumtegemea mtu yeyote kwa jina la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki--//Ameen!

#Jitambue .

#MosKwito !
 
Back
Top Bottom