Kila la kheli Abely Mwinuka

Kila la kheli Abely Mwinuka

MSAMBULE

Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
46
Reaction score
26
Ni wiki moja sasa tangia nipost mada yangu ilikuwa na kichwa kisemacho,Abby nashukuru kwa yote. Baada ya dharau nyingi na kejeri nimeamua kuukubali ukweli wa mambo kuwa nilichelewa kujua dhamira yako ya kuniahidi ahadi hewa. Wana MMU kumbe yote hayo alikuwa akinitendea alikuwa anashindwa animwagaje maana sikuwahi kumkosea hata siku moja.

Vituko vyake vya kutokupokea simu wala kujibu meseji ilikuwa ni njia ya kunimwaga na sababu kubwa kumbe kapata mwanamke mwingine. Hayo nimejulishwa na kaka yake baada ya mimi kumjulisha kuwa naona nipumnzishe akili sababu mdogo mwenyewe haelewiki mpaka sasa. Ndo akaniambia ana mshangaa sana mdogo wake kwani alimopita kunitambulisha mimi ndo anapita na mwanamke huyo kuwatambulisha na akiulizwa na vipi kuhusu mimi anajibu mimi ni bahili. Kitu ambacho sina kabisa hiyo tabia, kwakweli viumbe wazito wema wangu wote kasahau ananitafutia tabia ambayo sina. Bado nakushuru lakini mema hukumbukwa mabaya hupita, sikujua kumbe ulikuwa na mapenzi ya pesa na si ya dhati.

Kila la kheli
 
Ni wiki moja sasa tangia nipost mada yangu ilikuwa na kichwa kisemacho,Abby nashukuru kwa yote.baada ya dharau nyingi na kejeri nimeamua kuukubali ukweli wa mambo kuwa nilichelewa kujua dhamira yako ya kuniahidi ahadi hewa.wana MMU kumbe yote hayo alikuwa akinitendea alikuwa ana shindwa animwagaje maana sikuwahi kumkosea hata ck moja,hivyo vile vituko vyake vya kutokupokea cm wala kujibu msg ilikuwa ni njia ya kunimwaga na sababu kubwa kumbe kapata mwanamke mwingine.hayo nimejulishwa na kaka yake baada ya mimi kumjulisha kuwa naona nipumnzishe akiri mbona mdogo mwenyewe haelewiki mpaka sasa,ndo akaniambia ana mshangaa sana mdogo wake kwani alimopita kunitambulisha mimi ndo anapita na mwanamke huyo kuwatambulisha na akiulizwa na vp kuhusu mimi anajibu mimi ni bahili.kitu ambacho sina kabisa hiyo tabia.kwakweli viumbe wazito wema wangu wote kasahau ananitafutia tabia ambayo sina,bado nakushuru lakini mema hukumbukwa mabaya hupita.sikujua kumbe ulikuwa na mapenzi ya pesa na si ya dhati.kila la kheli.

Mmmmmh
 
una umri gani? Now Abely Mwinuka is a star!
 
Pole... Utampata mwingine mwenye mapenzi ya dhati...!
 
Mapenzi ya kitoto haya. Kama kakuacha ndio umtangaze na jina lake? Kwa nini uendelee kusikitika wakati ulisema umeamua kukaa pembeni? Inaonekana jamaa alikuwa madini sana, unasikitika kumpoteza mtoto wa kikinga!
 
pole bibie karibu kwenye chama la watendwa ingawa wenzio tushaanza kusahau
 
Dada yangu naomba nikuulize kabla ya kukushauri wewe uko chelsea au atletico madrid?...loading error....
 
haraka haraka ni kwamba huyo jamaa anasoma au kashamaliza tumaini university??????????

unaona ubaya au utoto wa kutajana majina huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom