Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekaa nyumbani sina cha kufanya,nahitaji kuchat kwa wale msiobusy
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Mapenzi ni tatizo kwa zama hizi tulizo nazo kwani ni kesi nying za mapenzi tunazopata ila mungu anajalia tunaziweka sawa kutana na DR.LOVE kutoka tanga mapenzi yaliko zaliwa kwa ushauri nasaha...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Ni hisia za kawaida lakini zenye impact kubwa sana kwenye kumfanya mtu awe mwanadamu na si mnyama, kuhisi maumivu, furaha,huzuni, kupenda na kupendwa.pale kwenye maumivu ni muhimu kutoa machozi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikikutana na sentensi hizo hapo juu,,natafuta mke mwema au mume mwema.Mimi nadhani tukubaliane mume mwema au mke mwema yupo ndani yako. MKE MWEMA Utamkuta mtu anataka mke mwema,,we je...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Kwa kifup mim nikijana wamiaka 26,nimemaliza chuo ila ni mjasiria mali.mchaga natafta mke wa kumpenda,kumbembeleza na wakunidekea!awe mmarangu au kabila lolote.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dah , rafiki yangu m baya wangu ! Tuliishi pamoja kama marafiki , siri yangu ni yake , hakuna tulilofichana hata mtaji wa biashara ya mtumba tumechanga ! Jana nikaenda kumuaga swahiba kuwa leo j...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Na NITAKUCHANA CHANA KWELI si utani! Na hivi umelegea legea kwa kufugwa utajua kama kachumbari ni mboga ama la! acha kilele au nikutie kibabe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kidada kimoja kilipata bahat ya kukutana na mi superstar lakn cha ajabu kinaomba mgegedo wakat nakiona kama hakiko sawa kiakili na kimavaz kitanishusha ubora sijui nifanye vp wakat mie big...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Richard Kijazi, mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejinyonga huku akiacha ujumbe unaodai kuwa amemkumbuka mkewe aliyefariki dunia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema kuwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani,mwezi uliopita nilifanikiwa kukutana na mtoto wa LUKUVI jinsia ya (ke) anaumri wa miaka 21 nirafiki yangu sana..ila tulipoteza nanae kwa mda mrefu...,kiukweli ni mzuri sana ana umbo zuri...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana Jf, Kwa mara nyingine tena nimeona vema nishirikiane nanyi katika hii hoja ya kujiachia kwa miili yetu katika kufanya mapenzi na wapenzi wetu. Hapa ninaposema kujiachia sina maana...
56 Reactions
186 Replies
34K Views
..... ... aiseh!!! Juma anaroho nzuri sana kambembeleza Roza... mpaka Roza kakata kiu !!!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Donald sterling mke wake yupo na Mumewe na hapo hapo Anatoka na girlfriend na Alsharpton anamke na girlfriend NUSU umri wake .Ni pesa uvivu au
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana MMU, kwa siku nyingi nimetafakari kwa kina ni kwa nini inakuwa ni kitu cha kawaida kwa dadazetu wao kwa wao yaani ke na ke kuitana majina kama honey, sweet, mpenzi, dia nk, lakini...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
Wadau,nipo Dsm,kama heading inavyosomeka. Awe mnywaji wa alcohol au si mnywaji, mimi siangalii hilo. Nafanya mihangaiko yangu mkoa wa pwani,kwa hyo nnaporudi weekend nakua so lonely alie tayari...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Cha ajabu mkoa wa Tanga ambao watu wanadai wapo vizuri kweye swala zima la mapenzi maambukizi yapo chini! Do they play safely? Manyara pia! Pemba na Zanzibar ambako watu wanadai kuna mapinduzi ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Natafuta mchumba Sifa zangu age 30, mrefu,christinity. Sifa za mke nayetaka age below 30,Christianity,minimum Education- first degree,awe na vision,awe Mjasiriamali au mwajiriwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
tujifunze wote hii nmeikuta mahala; 20 things about marriage a man should take note of Of course there is no right or wrong way to make your marriage work but here are some worthy...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hi mjini dodoma wapi pa kusafisha macho na kuburudika jioni ya jumamosi kama leo. maoni plz
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom