Kumekuwa na tabia ya akina mama watu wazima kutoka kwenye ndoa zao, kitu ambacho kizadhalilisha hadhi ya wame zao.
Unakuta mama wa miaka 40 anataka atoke na kijana wa miaka 29, sababu, eti...
Habari wanajf
Mimi ni kijana nina miaka 20 ni mwanachuo katika chuo fulani
Tatizo langu ni kwamba kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana hapa chuoni ila tatizo linakuja kuwa kanizidi miaka miwili...
Leo nilikuwa na rafiki yangu jioni alinipigia simu niende kwani alikuwa amegombana na mke wake. Huyo mkewe akaondoka akamuacha na mtoto wa miezi 3 mpaka saa 3 usiku bado huyo mkewe hajarudi tokea...
Unapokuwa na mpenzi wako mbele za watu either sokoni, barabarani,hotelini,club,beach nk huku ukionyesha mahaba kwa kumbembeleza na kumdekeza kama mtoto mdogo je,ni ishara ya u-gentleman au ni...
Wasalaam
Sina tatizo nao ila nadhani nawaonea huruma, watakuwa na tatizo kubwa kisaikolojia... humu MMU wapo siwataji majina ila mmoja nakumbuka kisa chake alijizushia amepata ajali kwa ID yake...
Habari wana JF
Kilichonileta hapa asubuhi yote hii ni kuhusu huyu mwanamke kwa sababu mimi hata simuelewi
mimi niko kwenye mahusiano na wanawake 4 tofauti samahani kama nitakua nimekuudhi kwa...
Habari zenu,
Ningependa kuanza kwa kutoa ka'stori haka kafupi...
Hivi sasa nipo nje ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli mbili tatu. Nipo katika Mkoa fulani ambao nisingependa...
Tangu wafunge ndoa ni takrabini miaka mitatu sasa. Mwanamke 'katelekezwa' Dar na mwanaume anafanya kazi mkoa.
Huyu bi dada ni mrembo hatari, rangi ndo ile ya mtume. Sasa nashindwa kumwelewa huyu...
Nimekuwa nikijiuliza inakuaje msichana kutafuta mume kwenye social media?
Tatizo linakuwa ninini hasa?
Je mlikuwa mnachagua sana?
Mnasura mbaya?
Umri umewatupa?
Yani huwa naogopa mtoto wa kike...
Nmeikuta Mahali jaman...nmecheka hatar😂😂😂 ila wanaume🤣🤣🤣🙌
Simulizi habar kuna mtoto nilizaaga nje nina uhakika wife hajui kama nilizaaga nikawa natunza kwa siri. Sasa nilisafiri na mtoto na mama...
Ukitaka kujua yanayofanyika mle ndani unaweza kunywa sumu kama una wivu tuanze na barber shop after kunyolewa kuna chumba maalum kwa ajili ya kuoshwa sasa kuna mabinti hujichetua kaka hufanyi...
Kumekuwa na trend ya wanaume kulalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanaoomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!!
Maisha yale ya kuvumilia mme/mchumba akiwa hana kitu kwa kigezo cha upendo...
Wakuu,
Maisha yanataka kuumiza kichwa hasa nyakati hizi za JPM vinginevyo utaishia kulialia tu kila siku.
Sasa, naomba wanawake wanne majasiri wajitokeze tutengeneze movie moja matata sana...
Binafc nakumbuka wakati na soma shule fulan maeneo ya Tabora kulikua na msichana mmoja jina kapuni anaweza kua yumo humu jf u kweli nilikua nampenda saanà na zaidi ya yoote nilishindwa kabisaaa...
Jamani wana JF nimekuja hapa kwenu kuwaeleza hili swala na pia kuomba ushauri wenu kutokana na hili sakata lililonikuta la kusalitiwa na mpenzi wangu.
Jana usiku wakati nikiwa nafanya kazi zangu...
Wanajukwaa, wife kaniwekea mitego kila kona, kuanzia kwenye simu hadi kwenye makampuni ya simu, katika mitandao na kila sehemu. Ukitoka tu nyuma unafatiliwa, sina pa kupumulia. Kila unalofanya...
Habarini Wadau,
Kuna jambo linaumiza sana. Hivi kwanini Wanawake mnapenda kuzinyoa zile nywele?
Ili iweje labda? Kama mwanamke anajiheshimu na kujitambua hawezi kukubali kunyoa hovyo hovyo...