Mkuu samahani, naomba nisaidie nini maana ya hilo neno?utaambia tatizo ni UKAWA
![]()
Sina la kuongeza,nasia mwandishi ni mtaalam wetu pale chuo kikuu cha pale juu. pole sana wasomi
Usitufanye sisi hatujui computer wewe! Hilo ni cover-like book limedizainiwa kwenye computer halafu wewe unakuja kutupumbaza nalo. Kajipange upya au utuambie hicho kitabu kipo bookshop gani?Sina la kuongeza,nasia mwandishi ni mtaalam wetu pale chuo kikuu cha pale juu. pole sana wasomi![]()
heaven on desert ni msomi wetu wa chuo kikuu?![]()
Sina la kuongeza,nasia mwandishi ni mtaalam wetu pale chuo kikuu cha pale juu. pole sana wasomi
usipanick mkuu,hiyo ni artwork niliifanya mimi week kadhaa zilizopita ,na imesambaa sana