Kwa nini bongo celebrities wengi hua hawaolewi?

Kwa nini bongo celebrities wengi hua hawaolewi?

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wakuu,

Katika chunguza chunguza yangu nimegundua kua bongo celebrities wengi hawaolewi. Na kama wakiolewa basi ndoa zao huvunjika mapema kabisa.
Jaribu kucheki wadada warembo wote, waigiza filamu, wanasiasa machachari, wanamziki .

Wengi wao hawaolewi hii ni furaha kwao?
Je, hii ni kua wanapenda wao wenyewe au na wao wanajuta kua bongo celebrity?
 
steriotype

akioa au kuolewa mmoja utasikia kama 10 wanaoa

akiachika mmoja utasikia vivyo hivyo

MKUMBO
 
duuuh eti bongo kuna celebrities.........!
Ndo najua leo BTW asante kwa taarifa
 
sasa kama wadada wakiolewa watapge ma dili ya kuhongwa hasa wakishazaa ndo mana hawataki kuolewa
 
Wakuu,

Katika chunguza chunguza yangu nimegundua kua Bongo celebrities wengi
hawaolewi.Na kama wakiolewa basi ndoa zao huvunjika mapema kabisa.
Jaribu kucheki wada warembo wote,waigiza filamu,wanasiasa machachari,
wanamziki .
Wengi wao hawaolewi.Hi ni furaha kwao?
Je,hii ni kua wanapenda wao wenyewe au na wao wanajuta kua "Bongo
celebrity ??''

Kweli tupu, kama 'Bunge Celebrity' Bi Kiroboto A. Mknd.
 
Unaoa cerebrity,mnakuja pata mtoto.Akifikisha miaka 10 na kuendelea anapata story kwa wenzake,magazetin,mtandaon juu ya mamake tutembea na A,B,C,D,E,F,G,H,I,J,K, L,M(marehemu),N...........,Z.Yan nin yote wakati kuna totozi safi.
 
Wakuu,

Katika chunguza chunguza yangu nimegundua kua Bongo celebrities wengi hawaolewi.Na kama wakiolewa basi ndoa zao huvunjika mapema kabisa.
Jaribu kucheki wada warembo wote,waigiza filamu,wanasiasa machachari, wanamziki .
Wengi wao hawaolewi.Hi ni furaha kwao?
Je,hii ni kua wanapenda wao wenyewe au na wao wanajuta kua "Bongo celebrity ??''

uchunguzi wako unazingatia kweli utafiti wa kina?wengi wameolewa na kuoa labda concern yako ni wachache unaowafaham
 
!
!
sababu ni kwamba wana "vina" virefu mno na "vipenyo" vikubwa....matokeo yake wanaume wanajikuta "dumbwii" na hapa ndio mambo ya team #vibamia inapata tabu. Jitu hata likikojoa kwenye unga halichimbi la nini?......iko wazi mno sababu ya wao kutoolewa na ni hiyo hapo
 
duuuh eti bongo kuna celebrities.........!
Ndo najua leo BTW asante kwa taarifa

kibongo bongo wapo.kaishia darasa la 7 kasoma sana basi ni form 4 failure, chuo kaenda kusomea certificate ya englishi kozi.kanunua/kahongwa gari ya kutembelea na anaishi nyumba ya kupanga.Mambo yake binafsi anayafanya ya kitaifa,akikosolewa anasema watu wanafuatilia maisha yake.
 
Unajuaje kwamba kila mtu anafagilia kuoa/ kuolewa?

Wengine wapo wapo bado, wanasubiri kufika umri wa George Clooney ndo watangaze ndoa.
 
Wanaishi maisha artificial na hao mapedeshee wao. Nani ataoa makombo ya mapedeshee? Wanakuja kushtuka inakuwa too late!
 
Nafikiri hata wao hawana mpango wa kuolewa nasema hivyo kwa sababu life style yao inaonesha dhahiri siyo watu wenye utayari wa kuwa na majukumu ya kuitunza familia,hii inadhihirika pale wanavyoonekana kupenda uhuru kupitiliza mfano kubadilisha wanaume kama nguo n.k ukizingatia kwamba familia inahitaji uangalizi wa hali ya juu ambao huhitaji muda wa kutosha pia!
 
proxy
 
Nafikiri hata wao hawana mpango wa kuolewa nasema hivyo kwa sababu life style yao inaonesha dhahiri siyo watu wenye utayari wa kuwa na majukumu ya kuitunza familia,hii inadhihirika pale wanavyoonekana kupenda uhuru kupitiliza mfano kubadilisha wanaume kama nguo n.k ukizingatia kwamba familia inahitaji uangalizi wa hali ya juu ambao huhitaji muda wa kutosha pia!
Shortly tuweza sema wanapenda kuishi maisha ya Bongo Mpvie au sio???
 
Wanaishi maisha artificial na hao mapedeshee wao. Nani ataoa makombo ya mapedeshee? Wanakuja kushtuka inakuwa too late!

Nafikiri umefika wakati jamii ifumbue macho kua Unaweza kua Maarufu na still maisha yako ya Ndoa yakawa safi kabisa.
 
Back
Top Bottom