Maumivu ya Mapenzi vs Maisha.

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,076
2,000
Kipi kinachoumiza sana kati ya:
1.Maumivu kutoka na shida za maisha
2.Maumivu yatokanayo na mapenzi/mahusiano.
Tusaidiane kujadili hili maana hivi vitu vinaongoza kuzorotesha raha na afya ya mwanadamu
Nawakaribisha wakina Kongosho lara 1 nivea Boflo Mtambuzi @figaniga manoah King Kong III NA WENGINE KIBAO COZ YAMESHANIKUTA MWENZENU NINA STRESS LUKUKI.
 
Last edited by a moderator:

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,461
2,000
Asante sana mkuu .pole kwa yaliyokukuta pole sana.
Mimi kwa upande wangu Billie yote yanaumiza sana ila kuna lenye
short effect haaya huvanish kwa muda na yana suluhu inayoeleweka kam ni ndoa imekushinda unatalaka inakwisha ,kama ni mpenzi /gf kizunguzungu unatupa kule ndugu yangu.au mnakaa chini mnazungumaza yanaisha maumiu ya mapenzi japo yanauma sanasana ila mengi yanasuluhu.
long effecthii ina long effect kama hutatafuta suluhu mapema shida za maisha zinaumiza sana sana,mfano umefukuzwa kazi na wewe ndio tegemeo la familia ,watoto wanakutegemea ,wazazi pia,au wazazi ni hali duni umekosa common needs so **** mambo mengi sana katika hili na ndio sababu sie watoto wa maskini huwa wengi hatusahau tulipotoka ukikumbuka shida za maisha uliyopitia huwezi sahau au kumdharau mtu anayepitia same line kam wewe so ni kama kengele kwenye moyo.kwa hiyo mkuu kama maumivu yako ni ya mapenzi aaaaah isikusumbue hiyo kama hakitupiki piga teke nimejifunza kitu kimoja mie ,mapenzi hayana nafasi yakuondoa furaha ya moyo wangu.,ila hizi shida za dunia zaweza kukunyima raha kabisa .so watch out
 
Last edited by a moderator:

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
Ushaumwa jino? Kila kinauma sana, sema ya mapenzi hayana kitulizo
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,000
Naungana na wewe nivea pamoja ya kwamba sikualikwa, Ukweli yote yanaumiza lakini maumivu ya shida za maisha yanaumiza zaidi. Shida inakusababishia mateso ya mwili, kufanya kazi ngumu, kuzibua vyoo, kushinda juani, wanawake kujiuza, kudharauliwa, kuchukiwa, kukosa matibabu ya maana, kukosa heshima, kukosa furaha, kupata magonjwa nk nk. Ukiwa hauna shida, haya mapenzi waweza kuyanunua na kuyapata na kucheza nayo saa nyingine the way unavyotaka mwenyewe.

Mapenzi huwa yanaumiza pia, lakini kama umefunzwa vizuri kucheza karata za mapenzi, basi hayata kutesa sana. Mapenzi pia yana option ya kumkataa mtu na with time kumsahau na kuanza na mwingine kitu ambacho ni kigumu kidogo kwenye shida. Shida ikikuganda, kutoka kwake si jambo jepesi!
 
Last edited by a moderator:

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Mimi ya mapenzi ndo yananiuma na kunikeraaaaaaaaaa!!!! Ya maisha uzuri wake njia za kutoka na solution zipo nyingi sanaa, hata ukishindwa huku kule unatoboa!!!!!! Ukifukuzwa kazi unaanza biashara, ukifeli shule unaolewa! Easy tu mbona!

Tatizo maumivu ya mapenzi Lazima ya tatuliwe na will ya mtu mmoja tu UMPENDAE!!!!!! Sasa kama na yeye kibri kingi lazima ujambe cheche hapo! Dunia yote waiona chungu kama sifongo!!!!!!!! Nothing else makes you happy anymore!!!! Ndo maana mimi naumia ila nikipoa tu, kisasi kinaanza mara moja ili kufidia machungu yangu!!!!!!!!!!!! Nyamafffffff!!!!!!!!
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,076
2,000
Asante sana mkuu .pole kwa yaliyokukuta pole sana.
Mimi kwa upande wangu Billie yote yanaumiza sana ila kuna lenye
short effect haaya huvanish kwa muda na yana suluhu inayoeleweka kam ni ndoa imekushinda unatalaka inakwisha ,kama ni mpenzi /gf kizunguzungu unatupa kule ndugu yangu.au mnakaa chini mnazungumaza yanaisha maumiu ya mapenzi japo yanauma sanasana ila mengi yanasuluhu.
long effecthii ina long effect kama hutatafuta suluhu mapema shida za maisha zinaumiza sana sana,mfano umefukuzwa kazi na wewe ndio tegemeo la familia ,watoto wanakutegemea ,wazazi pia,au wazazi ni hali duni umekosa common needs so **** mambo mengi sana katika hili na ndio sababu sie watoto wa maskini huwa wengi hatusahau tulipotoka ukikumbuka shida za maisha uliyopitia huwezi sahau au kumdharau mtu anayepitia same line kam wewe so ni kama kengele kwenye moyo.kwa hiyo mkuu kama maumivu yako ni ya mapenzi aaaaah isikusumbue hiyo kama hakitupiki piga teke nimejifunza kitu kimoja mie ,mapenzi hayana nafasi yakuondoa furaha ya moyo wangu.,ila hizi shida za dunia zaweza kukunyima raha kabisa .so watch out

Je unazunguaziaje swala la shida za maisha zikikupata waweza ukaomba msaada kwa ndugu au jamaa na ukakwamuliwa je mapenzi yanaweza kusolviwa na ndugu au jamaa ilihali unaempenda hataki solution.? angalia MMU imejaa thread za malalamiko ya aina gani?UTAGUNDUA.
 
Last edited by a moderator:

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,461
2,000
mimi ya mapenzi ndo yananiuma na kunikeraaaaaaaaaa!!!! Ya maisha uzuri wake njia za kutoka na solution zipo nyingi sanaa, hata ukishindwa huku kule unatoboa!!!!!! Ukifukuzwa kazi unaanza biashara, ukifeli shule unaolewa! Easy tu mbona!

Tatizo maumivu ya mapenzi lazima ya tatuliwe na will ya mtu mmoja tu umpendae!!!!!! Sasa kama na yeye kibri kingi lazima ujambe cheche hapo! Dunia yote waiona chungu kama sifongo!!!!!!!! Nothing else makes you happy anymore!!!! Ndo maana mimi naumia ila nikipoa tu, kisasi kinaanza mara moja ili kufidia machungu yangu!!!!!!!!!!!! Nyamafffffff!!!!!!!!
nimefurahi sana kwa analysisi yako unawaza mbali kweli kweli
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,461
2,000
Je unazunguaziaje swala la shida za maisha zikikupata waweza ukaomba msaada kwa ndugu au jamaa na ukakwamuliwa je mapenzi yanaweza kusolviwa na ndugu au jamaa ilihali unaempenda hataki solution.? angalia MMU imejaa thread za malalamiko ya aina gani?UTAGUNDUA.

tunashauriwa sana kutojiingiza kwenye mapenzi katika umri mdogo ndio effect sanaya mapenzi huonekana ,ila kama ni mtu mzima umepitapita na umeshakutana mna mengi katika maisha unaweza kugundua tatizo na suluhu yake ,siamini katika kushauriwa katika mapenzi maana anayeumizwa ni mimi ,mimi binafsi ndio nina maamuzi ya mwisho ,unakaa chini unatafakari kama haisuluhishiki nawa mikono kuliko kusubiri mbiu ipigwe
hivi ulishakutana na familia au koo ambazo hakuna mwenye uwezo wakukusaidia upatapo shida yoyote?
zipo unapowaza kutatua shida nenda mbali zaidi sio rahisi sana kumwomba mtu mtaji akakupa ,akusomeshe wazazi wamefariki akafanya hivo etc tembeeni san mtajionea kuna shida za maisha magumu haya na suluhu na sio kwamba wameridhika nayo.
 
Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,970
1,195
Hahaaaaa Lara1 .....Nyamafff!!

Mimi ya mapenzi ndo yananiuma na kunikeraaaaaaaaaa!!!! Ya maisha uzuri wake njia za kutoka na solution zipo nyingi sanaa, hata ukishindwa huku kule unatoboa!!!!!! Ukifukuzwa kazi unaanza biashara, ukifeli shule unaolewa! Easy tu mbona!

Tatizo maumivu ya mapenzi Lazima ya tatuliwe na will ya mtu mmoja tu UMPENDAE!!!!!! Sasa kama na yeye kibri kingi lazima ujambe cheche hapo! Dunia yote waiona chungu kama sifongo!!!!!!!! Nothing else makes you happy anymore!!!! Ndo maana mimi naumia ila nikipoa tu, kisasi kinaanza mara moja ili kufidia machungu yangu!!!!!!!!!!!! Nyamafffffff!!!!!!!!
 
Stephen Shayo

Member
Nov 13, 2012
55
70
kiukweli inategemea mtu yuko kwenye hali gani kwa wakati huo,uwezo wake wa kustahimili maumivu/kutatua matatizo.inawezekana kwako likawa dogo ila kwake likamsumbua sana.so huwezi kusema direct kipi kinauma sana lakini ikumbukwe pia mapenzi ni sehemu ya maisha so swali kama hilo linalinganisha subtopic na topic nzima
 
Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,086
2,000
Billie ni wewe kipindi cha nyuma kidogo ulisema kila saa wife anakupigia simu uwahi kurudi hom akupe tamauu mpaka ukawa na hangover ya ile kitu..?? labda kama nimekufananisha unless other wise kweli dunia ni mviringo
 
Ndo mimi wa leo nina stress za kufa mtu.
 
MankaM

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,450
2,000
maaisha yakikupiga ndio akili inakaa sawa na usitake kukumbuka maumivu yake songa mbele haya ya mapenzi haya bwana haya yakawaida
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Mimi ya mapenzi ndo yananiuma na kunikeraaaaaaaaaa!!!! Ya maisha uzuri wake njia za kutoka na solution zipo nyingi sanaa, hata ukishindwa huku kule unatoboa!!!!!! Ukifukuzwa kazi unaanza biashara, ukifeli shule unaolewa! Easy tu mbona!

Tatizo maumivu ya mapenzi Lazima ya tatuliwe na will ya mtu mmoja tu UMPENDAE!!!!!! Sasa kama na yeye kibri kingi lazima ujambe cheche hapo! Dunia yote waiona chungu kama sifongo!!!!!!!! Nothing else makes you happy anymore!!!! Ndo maana mimi naumia ila nikipoa tu, kisasi kinaanza mara moja ili kufidia machungu yangu!!!!!!!!!!!! Nyamafffffff!!!!!!!!

yani for the first time nakuona umejielezea so emotional....nimeipenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom