Mke hapigwi, hutafutiwa Mke mwenza au Mchepuko

Mke hapigwi, hutafutiwa Mke mwenza au Mchepuko

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Kwanini umpige mkeo bana? Mke hapigwi kwa mangumi na mateke utapata kesi ya jinai bure! Njia rahisi ni hiyo au mnasemaje wadau?
 
Kama ambavo mwanaume hatukanwi wala kuchambwa dawa ni hiyo hiyo moja....
 
weee na mimi sideal namchepuko wako, yani nakuvizia usiku napasua gololi tuone nani mjanja
 
Kama ambavo mwanaume hatukanwi wala kuchambwa dawa ni hiyo hiyo moja....
Kwani kati ya mke au mume nani kaolewa na nani kaoa? Au kuna ndoa gani ya kiafrika mwanamke anaweza kuolewa na wanaume wawili au zaidi?
 
akizingua unachepuka tuu kwani tatizo lipo wapi...ya nini malumbanoo
 
wale wanawake wa kikurya wasipopigwa hawajisikii raha, sasa mtoa mada unawasaidiaje?
 
Mchepuko ni kuongeza maumivu kwenye ndoa, ngoja mkeo na yeye achepuke akuletee maradhi ndo utajua
 
Back
Top Bottom