Natafuta mrembo wa kike!

Natafuta mrembo wa kike!

SMIGO

Senior Member
Joined
May 13, 2014
Posts
148
Reaction score
19
aise natafuta mrembo wa miaka 17-19 tuwe marafiki, baadae wachumba na kama vp tuwe 1 thing on next tym, nina miaka 19, kazi(kapuni), cpendi mchunaji, ukiniomba pesa nakuadd black list, nichek http://www.0769946001.com. tumia namba tu!
 
miaka 19 unatakiwa uwe shule either ulianza std1 na miaka 2/3 au umeishia njiani. rudi shule achana na mapenzi.
 
mrembo wa kike? U mean there could possibly be a 'mrembo wa kiume' too? sheesh!
 
Mleta mada dunia ya sasa urembo hauji hivihivi, lazma ugharamie!!! So ili ufanikiwe jaribu kucheza na hvyo vipengele viwil kwny tangazo lako, urembo+kuhudumia!!
 
19 sheria inamruhusu kuoa masuala ya shule siyo lzm kila mtu afike fulani alipo.
 
Mleta mada dunia ya sasa urembo hauji hivihivi, lazma ugharamie!!! So ili ufanikiwe jaribu kucheza na hvyo vipengele viwil kwny tangazo lako, urembo+kuhudumia!!

eeh! mi maskini tomita
 
Last edited by a moderator:
miaka 19 unatakiwa uwe shule either ulianza std1 na miaka 2/3 au umeishia njiani. rudi shule achana na mapenzi.

hallow, umri wangu unaruhusu, we naanza mapema, ndo maana nikacema ni mrembo na c mchumba RRONDO
 
Last edited by a moderator:
wenzako wanjiandaa na mitihani ya muhula wewe unatafuta mchumba....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom