Ushauri please kabla ya maamuzi

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,394
2,000
Katika hekaheka zangu hapa kampala nimejikuta nimenasa kwa mganda mmoja,kama kawaida yangu nipendavyo watoto weusi,tumekubaliana baada ya kuoana tuje tuishi Tz,sasa wakuu mimi nina mashaka kidogo,maana kwenye ndoa migongano huwa ipo,sasa ikitokea tumepishana na akaamua kurudi kwao na uwezekano wa kusuluhisha si unakua mdogo?maana ni nchi mbili tofauti na kunipotezea si itakua rahisi maana kuonana mara kwa mara itkua ngumu, na ikitokea kakwapua vitu vyangu au kaleta madhara mimi kumfatilia kwao si itakua ngumu na sitakua na nguvu maana atakua tayari yuko nchini kwao,ushauri wenu pliz wakuu,

Mungu bariki Tanzania yangu,

Nchi yenye neema ya amani.

Jembe afrika.
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,799
2,000
,ushauri wenu pliz wakuu,

HILI TATIZO USHALITATUA KWANZA...??
mgegedo wangu unanikera
Started by jembe afrika, 30th January 2014 14:26


imefikia sasa hata wasichana nikifanya nao mara moja hawarudi.
imefikia sasa sipati tunda jaman wanadai ni ndefu mno.ni nchi tisa tu.
nifanyeje wakuu niepukane na adha hii?

NA USHAURI HUU ULIUTOA MWENYEWE MBONA HUUFUATI??
Kumpata mwenza wa maisha fanya haya........

Started by jembe afrika, 14th April 2014 13:02
 

mrsleo

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
2,472
2,000
yani wewe uko mapenzini na unataka kuoa badala ya ku enjoy ushaanza kuwaza migongano na mitengano, usimpe shetani nafasi ndugu yangu kwani hutumia hayo hayo mawazo wetu kutuharibia, be positive na mambo yako yataenda positive and vise verse
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom