Monasha
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 563
- 423
Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea kupumua.Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii zetu nyingi.
Dhana yenyewe ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana katika nyanja mbalimbali za maisha.
Kutokana na huu mtazamo, wengi wanaamini kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufanya maamuzi ya aina yoyote katika maisha ya kila siku.
Tuje kwa upande wa mavazi hasa kwa wadada zetu ambao wengi hudiriki hata kutembea nusu uchi wakidai ni fashion.
swali linakuja, kwamba; wanavovaa vile ni maamuzi yao au kuna mtu/watu wenye maamuzi aghalabu wanaume wanaowasababisha au kupenda wao wavae vile?
Tupe mtazamo wako.
Naweka mjadala mezani.