Kwani lazima kila weekend jamani?

Kwani lazima kila weekend jamani?

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,677
Habari wana-MMU!


Hivi karibuni nimempata mpenzi wangu mpya baada wa yule wa mwanzo kuamua kuchukua hamsini zake,.

Katika hatua za mwanzo za kufahamiana na huyu mpenzi mpya nilimuelezea ukweli kwamba kabla yake nilikuwa na mtu ila kwa sasa tumeshaachana na hatuna mawasiliano ya aina yoyote!

Tatizo la huyu binti kila weekend anataka tuonane, yaani tupatiane yale mambo ya kikubwa! Wakati mwingine natingwa na majukumu mengine nakosa muda,.

Nikimuelezea kwamba nakuwa nimebanwa analalamika bado haniamini anafikiri bado nipo na yule mpenzi wangu wa zamani.


Naomba wanaMMU mnishauri nini cha kufanya huyu binti anielewe!!
 
Acha uchoyo. Msinyimane. Mpe mwenzio kitu roho inataka. Hii inahusu wenye ndoa tu. Acha uzinzi , oa na baki njia kuu kuna VVU na UKIMWI.
 
Habari wana-MMU!


Hivi karibuni nimempata mpenzi wangu mpya baada wa yule wa mwanzo kuamua kuchukua hamsini zake,.

Katika hatua za mwanzo za kufahamiana na huyu mpenzi mpya nilimuelezea ukweli kwamba kabla yake nilikuwa na mtu ila kwa sasa tumeshaachana na hatuna mawasiliano ya aina yoyote!

Tatizo la huyu binti kila weekend anataka tuonane, yaani tupatiane yale mambo ya kikubwa! Wakati mwingine natingwa na majukumu mengine nakosa muda,.

Nikimuelezea kwamba nakuwa nimebanwa analalamika bado haniamini anafikiri bado nipo na yule mpenzi wangu wa zamani.


Naomba wanaMMU mnishauri nini cha kufanya huyu binti anielewe!!

mwanaume shughuli...
true love is when your pet comes to your room...on its own
 
Bize gani mpaka weekends? wenzako ndo siku wanazotumia kujenga mahusiano si kwa wanandoa wala kwa wasio na ndoa,sasa kama saizi uko bize kila weekend huyo mwanamke awe na uhakika wa kupata haki zake kweli? lazima awe na wasi wasi mpe muda akufaidi
 
chakii hivi unampenda kweli huyo msichana wako??
 
Last edited by a moderator:
Habari wana-MMU!


Hivi karibuni nimempata mpenzi wangu mpya baada wa yule wa mwanzo kuamua kuchukua hamsini zake,.

Katika hatua za mwanzo za kufahamiana na huyu mpenzi mpya nilimuelezea ukweli kwamba kabla yake nilikuwa na mtu ila kwa sasa tumeshaachana na hatuna mawasiliano ya aina yoyote!

Tatizo la huyu binti kila weekend anataka tuonane, yaani tupatiane yale mambo ya kikubwa! Wakati mwingine natingwa na majukumu mengine nakosa muda,.

Nikimuelezea kwamba nakuwa nimebanwa analalamika bado haniamini anafikiri bado nipo na yule mpenzi wangu wa zamani.


Naomba wanaMMU mnishauri nini cha kufanya huyu binti anielewe!!

Una umri gani?
 
Acha hizo bwana mpe mwenzio tamu yake... we weekend had usiku unafanya kazi? Mpe nafasi bwana
 
Ana wivu .. namfananisha kabisa na x wangu.. too protective.. anadhani akikubana all the time ndio hata ibiwa. Understanding inahitajika. Mtu akikwambia sina nafasi mwelewe. Na ukienda nae kwa speed anayotaka yeye utamchoka in a short moment.endelea kumsoma utagundua kuwa sio kwamba anataka kuwa nawe all the time just for love... bali kukulinda wasimwibie. mie nilitoa huduma mpaka sasa ikawa kama kazi vile sifuarahii napiga kazi tu.. mwisho nikaona haya ni mateso sio love nikapita hivi....
 
swali zuri mdogo wangu....
yaani weekend kwa weekend ameshaona kero. wakati wengine wanatamani wawaone wapenzi wao kila siku.... tena penzi changa!

Mie nimeshangaa kweli jamani khaaa
 
ebwana eee huyo demu hajui mapenzi....kwani kugegedana twawekeana ratiba....its supposed kutokea pala ambapo mwanawane unataka kugegeda.
piga chini huyo
 
Basi mgee katikati ya wiki,ubize huo watakukimbia kila mara au watakusaidia wenzio.Kama ni nguo hata baba yake anamnunulia,nyumba wanayo,kula anakula kwao hicho kimoja tu ndo anakosa sasa unataka akakipate wapi????????????????
 
Back
Top Bottom