Yaani mwanaume umri umekutupa age imeenda una mpaka wajukuu hautulii nyumbani..
Mkeo msafi, mpishi mzuri, lugha nzuri ila ile tabia ya ujanani haikutoki! Eti wavunja mifupa bado meno yapo...
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wanaongelea hili neno G-SPOT eti kwamba ni kiungo cha mwanamke kilichoko kwenye uke wake. Wanadai kwamba hicho kiungo ndo kinampa mwanamke msisimko katika...
Maisha kwa sasa yamekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wale wanaoisha Dar watanielewa zaidi..
Tunahangaika sana kutafuta hela na kuhakikisha watoto wetu wanapata mlo wa kila iitwapo leo...
Kati ya vitu vinavyoendesha dunia mapenzi ni kitu kimowapo, hivyo kuna visa vingi mno katika mapenzi. nina uhakika kabisa wengi wetu tuna makovu yaliyotokana na majeraha mbali mbali, majeraha...
wakuu habari zenyu kuna hii kitu harusi adon no faida zake me uwanaona kama kufanya harusi nikupoteza pesa tu!inaccodance to my version,sijue mtazamo wenu wanajf kuhusu hili ni upi.
Habari Wana Jf,
Leo nazungumzia wanaume na kusua sua kwao kuoa.
Vijana wengi wa kiume hujikuta katika wakati mgumu kuchukua maamuzi ya kuishi na mwanamke japo yawezekana wakawa wanatamani...
Kweli wanawake wanajua kushikilia akili za wanaume mshkaji wangu an girlfrind wake wa miaka miwili kaambiwa ukweli na mchumba wake bila kununua gari a kutembelea ndoa hakua harusi kikao cha pili...
Jukwaa hili ndilo linalojihusisha na maswala ya mapenzi na ngono na pia kuna madai mengi kwamba tendo la kujamiiana ndilo linaloongoza katika mchango wa maambukizi ya ukimwi.
Kuna rafiki zangu...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,nimekuwa katika mahusiano na sista wa dhehebu moja kubwa tu duniani(wale wanaovaa vilemba vyeupe na magauni),tulikuwa tunafanya naye kazi ofisi moja,cku moja...
Maisha yana vituko vyake na majamboz
Jambo lolote lile ukilichukulia kikasuku litakutokea puani,yaani unalichukua tu bila kulitafakari
Niliwahi kutoa kisa kimoja hapa cha Mchungaji mmoja...
Kila mtu anapoingia kwenye mahusiano huwa anatarajia mambo furani(mfano; amani, furaha, upendo, heshima, etc) atayapata kwa mwenzi wake. Mara nyingi hasa siku za mwanzo mwanzo, mambo yanakuwa ya...
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia...
Utafiti nilioufanya kwa kutumia vigezo vyangu mwenyewe visivyofanana na vya Synovet wala ESRF unaonyesha kwamba wanaume hawapendi kuoa wanawake wazuri sana.
Sababu kubwa kabisa ni kuogopa...
Binti niliyemtegemea na kumuamini hata kumsifia mbele ya marafiki zangu, leo kaniumiza baada ya kumfumania na kumsikiliza kupitia dirishani akifurahia tendo la ndoa na rafiki yangu wa karibu sana...
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia...
Nina mchumba am aye tunapendana sana .yukochuo kimoja jinini Mbeya cha kushangaza kwao kuliwahi tokea misiba mingi haikuwai tokea Hali hii Jana mama wa mkufunzi wake alifariki wakati wanapeleka...
Yaani siku kumi na moja kabla ya mwisho wa mwezi huwa nazipendaga sana......Maana kila sms ikiingia ni, baby I love you, nikigeuka kwingine, you know I miss you sana......mwingine, Ben usisahau...