Ninampenda sana,anataka kuoa lakini hataki tuachane

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
718
250
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia ukweli yuko na msichana mi nkakubali Kua nae...kiukweli tumeishi hivo Kwa mda wa miaka miwili nkiwa na mke mwenzangu and I was happy with the relationship. aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.tumeendelea na hay a maisha hakuna nlikua nakosa kwake kiukweli nimeish happy life yetu.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yeye anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa ananibembeleza nsimuache eti ananpenda sn mi nimekataa.ananisumbua sana mpaka anataka aahirishe ndoa kisa mimi.embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf,

Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?
 
Price

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
1,503
1,225
aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yy anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf

Kumbe alishakuambia, na wewe ukakubali... Sasa unaumia nini?
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,268
2,000
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia ukweli yuko na msichana mi nkakubali Kua nae...kiukweli tumeishi hivo Kwa mda wa miaka miwili nkiwa na mke mwenzangu and I was happy with the relationship. aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.tumeendelea na hay a maisha hakuna nlikua nakosa kwake kiukweli nimeish happy life yetu.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yy anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa ananibembeleza nsimuache eti ananpenda sn mi nimekataa.ananisumbua sana mpaka anataka aahirishe ndoa kisa mimi.embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf

Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?

Hutaki kuwa hawara wakati wewe ni hawara sasa?

Umeumia nini wakati tayari umesema "ulikuwa mke mwenza" na ulikubaliana na hilo?

Au ulikuwa hujui ulichokuwa unakifanya?
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,145
2,000
Hutaki kuwa hawara wakati wewe ni hawara sasa?

Umeumia nini wakati tayari umesema "ulikuwa mke mwenza" na ulikubaliana na hilo?

Au ulikuwa hujui ulichokuwa unakifanya?

alikua anapima kina cha mto kwa mguu..................
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
19,620
2,000
Hehehe yaani muda wote ushakuwa naye ulikua katika nafasi gani?.
Sasa ndo unaona una nafasi ya uhawara?
..kipindi ukiwa naye ulitegemea wataachana na akuoe wewe?
Kama dini yake inaruhusu piga moyo konde uwe mke mdogo uhudumiweee...
Nmpangiane ratiba na main house...
 
ashuu6

Senior Member
May 10, 2014
132
0
WEWE ULISHAKUBALI KUWA KIMADA SASA UNACHOUMIA NINI HAPO?NA JIANDAE KUPATA MAWACLIANO YA "USINIPIGIE NIPO NA MKE WANGU"USITUME MSG MKE WANGU ATAZIONA"USINIPIGIE CM MIMI NDO NITAKUPIGIA!ujiandae kuumia.
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Leo hii ndio ukewenza hauwezi?
Au mwanzoni alijua atazidisha tamu aolewe yeye?
"Tuliishi happy life" mwambie aendelee kuishi happy life!!!
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
kinachomdanganya dudu tu hapo...ushachezewa rafu,pack urself and leave...heheh hadi mwenzio anakuwa engaged unafikiri mwanaume hajui anachofanya???
 
MankaM

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,456
1,500
kam mwanzoni ulikubali kwanini ukatae saiv au sitaki nataka??? tafuta mtu mwingne ambaye atakuwa njia kuu kwako lakini usimuache huyo anayekuprovaidia ahahahahahahaaa inahusu sana hiii
 
Ndeke afwege

Senior Member
May 20, 2014
154
0
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia ukweli yuko na msichana mi nkakubali Kua nae...kiukweli tumeishi hivo Kwa mda wa miaka miwili nkiwa na mke mwenzangu and I was happy with the relationship. aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.tumeendelea na hay a maisha hakuna nlikua nakosa kwake kiukweli nimeish happy life yetu.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yy anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa ananibembeleza nsimuache eti ananpenda sn mi nimekataa.ananisumbua sana mpaka anataka aahirishe ndoa kisa mimi.embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf

Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?

basi mpaka hapo ujue ww huna sifa ya kuwa mke ila unasifa ya kuwa dem a.k.a kimada

ulishakubali kuwa hawala toka mda mrefu
 
Trecy Kidoti

Member
Jul 18, 2013
19
0
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia ukweli yuko na msichana mi nkakubali Kua nae...kiukweli tumeishi hivo Kwa mda wa miaka miwili nkiwa na mke mwenzangu and I was happy with the relationship. aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.tumeendelea na hay a maisha hakuna nlikua nakosa kwake kiukweli nimeish happy life yetu.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yy anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa ananibembeleza nsimuache eti ananpenda sn mi nimekataa.ananisumbua sana mpaka anataka aahirishe ndoa kisa mimi.embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf

Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?

hahaha anaakili nusu aisee yan anaekupenda anaweza kukufanya kimada? Kimada kweli? Akubali kashatumiwa ajipange upya asonge mbele atapata anaemstahiri na wanaume wa hivyo wanaushawishi mkubwa anakuumiza anakupuliza atoke kwa huyo mwanaume wala hampendi angempenda sana ngemuoa
 
limbende

JF-Expert Member
May 14, 2013
1,003
2,000
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia ukweli yuko na msichana mi nkakubali Kua nae...kiukweli tumeishi hivo Kwa mda wa miaka miwili nkiwa na mke mwenzangu and I was happy with the relationship. aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.tumeendelea na hay a maisha hakuna nlikua nakosa kwake kiukweli nimeish happy life yetu.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yy anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa ananibembeleza nsimuache eti ananpenda sn mi nimekataa.ananisumbua sana mpaka anataka aahirishe ndoa kisa mimi.embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf

Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?

wew dada kubali matokeo,niPM tumalizane mm mwenyew nataka ndoa
 
Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
606
500
kuwa spare tyre unajua wakati mwingine ni inalipa kwanza spae tyre haichoshwi inatumika tu pale ambapo gurudumu halisi limepata pancha, na wewe mwambie unataka uolewe na bwana mwingine lakini hutamwacha. mwanangu kamua tena sasa hivi kamua kimpango kwa sababu wewe huna chako, na usilogwe akakwambia nataka mtoto na wewe mtolee nje, inabidi nikupe ushauri huu kwa sababu wewe naona ni mzembe furani hivi, ukisha pewa cone unajisahau.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom