Bila gari ndoa haifungwi

Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,073
2,000
Kweli wanawake wanajua kushikilia akili za wanaume mshkaji wangu an girlfrind wake wa miaka miwili kaambiwa ukweli na mchumba wake bila kununua gari a kutembelea ndoa hakua harusi kikao cha pili. mshkaji anahaha kukichangisha hadi m9 ifike. wadada mbona mnatuanyia hivo lakini?
 
Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,073
2,000
eve hawa watu bila kuwa bandidu mambo hayaendi bana, so big up mdada kaza buti tena akinunua mwambie bila kujenga nyumba mtoto hazaliwi.
Duh!! yaani nawe unamsapoti acheni roho za hivo nyie mtu ataiba sasa
 
ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
Mwambie huyo rafiki ako yeye ni hajitambui

Ivi wanaume wa kiivi mpo bdo namuonea huruma huyo Dada kuolewa na mtu ambaye hajitambui as father of family

Anashindwa kukataa na kufanya mambo ya msingi eti anampelekeshe anunue Gari
Is he unsound mind? Hana maamuzi
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Ndio dawa ya wanaume wasio jitambua,nampa big up huyo dada. Ahakikishe jamaa anainunua kila hatua watayopiga maishani mpaka atakapojifunza kusimama kama mwanaume!!
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,087
2,000
Kweli wanawake wanajua kushikilia akili za wanaume mshkaji wangu an girlfrind wake wa miaka miwili kaambiwa ukweli na mchumba wake bila kununua gari a kutembelea ndoa hakua harusi kikao cha pili. mshkaji anahaha kukichangisha hadi m9 ifike. wadada mbona mnatuanyia hivo lakini?

Hapo hamna mwanamke,ni kicheche huyo hana mapenzi ya dhati,she is after something,kwani hiyo ndoa anadunga na gari????? Mwambie mshkaji astopishe process zote,bila hivyo huyo.mwanamke atamsumbua sana,na akishafunga ndoa ndo basi
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,087
2,000
Ndio dawa ya wanaume wasio jitambua,nampa big up huyo dada. Ahakikishe jamaa anainunua kila hatua watayopiga maishani mpaka atakapojifunza kusimama kama mwanaume!!

Yani huyo mwanaume nae hajitambyi,anapekekwa tu kama zuzy,anashindwa kusimamia nafasi yake kama mwanaume,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom