Nimekuwa katika mahusiano na sista kwa muda mrefu,sasa nataka kuoa yeye hataki nioe

Status
Not open for further replies.

mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
520
250
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,nimekuwa katika mahusiano na sista wa dhehebu moja kubwa tu duniani(wale wanaovaa vilemba vyeupe na magauni),tulikuwa tunafanya naye kazi ofisi moja,cku moja aliniita ofisini kwake na kunambia mguu wake unamuuma,akawa ananionyesha sehemu ya juu ya magoti,nliposhika mguu wake akawa anahema kimahaba,nkajikaza na kuondoka coz nlijua ananitega kujuamsimamo wangu maana mimi nlikuwa msaidizi wake kimajukumu,cku moja majira ya saa mbili ucku alinipigia Simi kuwa Kuna kazi ya dharula napaswa kwenda ofisin,bila hiana nkaenda,nlipofika nkamkuta amekaa kwenye Kochi,akanambia mguu wake bado unamuuma hivyo back,nkamshika mguu akashtuka sana na kuanza kuhema kimahaba sana na kuniegemea kifuani,nkajaribu kutoka lakini hisia zilinizidi nami nano kumshikashika sehemu mbalimbali za mwili,hatimaye tuka sex,ikawa kama kamchezo mara kwa mara,imefika wakati nataka kuoa na kuachana na Hutu mtawa,lakini amekuwa akipinga kabisa mimi kuoa,ananambia yupo tayari hata kuua endapo ntaoa,na mimi kwa umri wangu nahitaji kupata mke japo bado sijapata mchumba,lakini nahitaji kutoka hapa nlipo na kuanza maisha mapya,niachane kabisa na huyu sista,napata taabu nkifikiria kauli sake za vitisho,naombeni mnishauri jamani nifanye mini ili niweze kumwacha huyu mtawa!!!?
 

JJ10

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
282
0
Huyo sio sister' ni malaya kama malaya wengine tu!! Kwahiyo wewe unaogopa kuoa kwasababu ya huyo malaya' eti anakutishia loh! Wewe wakiume au mwanaume?
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,731
2,000
Hehehheheehhehe loh nlizani wapenda dudu ni sie tuuu...chezeya utam wewe...
Evelyn Salt a.rahabu em njoo msikie mabwaku hukuuu

Kuna askofu mmoja jina kapuni anakula visista hiyo style ya kuvipata sasa
sista anawekwa kwenye box, lile box linabebwa na driver askofu anapelekewa
watu wanajua mzigo kumbe sista anaenda kupata chakula cha mwili
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
At least heading inaeleweka.
Kajifunze kuandika vizuri kwanza kabla hujaanza kutafuta mchumba!!!
 

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
4,889
2,000
Wee oa tuu, hawezi fanya chochote ni mikwara tuu, hii ishantokeaga ila ilinibidi nihame geto maana ni karibu na hapo chach anapohudumu ndio ilikua salama yangu.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom