"Little older and still a liar"

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
19,734
2,000
Yaani mwanaume umri umekutupa age imeenda una mpaka wajukuu hautulii nyumbani..

Mkeo msafi, mpishi mzuri, lugha nzuri ila ile tabia ya ujanani haikutoki! Eti wavunja mifupa bado meno yapo!!: Still a liar unatembea na watoto 20's unazaa na mwanamke mtoto kalingana na mjukuu wako!! Aah muda mwingine tabia zibadilishwe na umri basi jamani khah!

Mwanamke age imeenda you have older childrens wameshaletewa posa, ila bado wataka kutembea na vitoto 20's.. Ni nini tatizo? Kukosa kuzipata raha ujanani au?

Unahudumia the so called nyumba ndogo na kuacha family yako yajihangaikia? Hivi shida ni nini haswa kwa hawa watu na familia zao na umri wao mkubwa tu kuhangaika na watoto wadogo?

Asprin, Kaizer njoo mniambie ni nini shida!
 
Last edited by a moderator:

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,624
2,000
Kwakweli hapo kuna tatizo kubwa tu. Cha msingi ni kujitambua na kujiheshimu na kuheshimu jamii yako
 

kasopa

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
302
195
Asa we vale kwani uliwahi kuona katika maandiko matakatifu imeandikwa mwanaume asiwe na mwanamke mdogo kiumri au mwanamke asiwe na kijana kijana mdogo zidiyake kiumri hiyo ni uamuzi wa wawili QUOTE=Jawilat;9617244]Linanikwaza sana hili jambo.[/QUOTE]
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
19,734
2,000
Tatizo siyo kuwa na mdogo ama mkubwa kiumri tatizo ni wewe kuwa na familia yako na kuitelekeza...kujitembeza kwa watoto wadogo huku hujui maendeleo ya familia yako.
Asa we vale kwani uliwahi kuona katika maandiko matakatifu imeandikwa mwanaume asiwe na mwanamke mdogo kiumri au mwanamke asiwe na kijana kijana mdogo zidiyake kiumri hiyo ni uamuzi wa wawili QUOTE=Jawilat;9617244]Linanikwaza sana hili jambo.
[/QUOTE]
 

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
2,752
2,000
Hakuna shida wala tatizo Ila, tu kama wewe mwenyewe ni tatizo kwa kutokuelewa kuwa Si-lazima kuwe na tatizo.

Zingatia; Wakati mwingine mabadiliko hayazuiliki na daima Usitukane mamba kabla hujauvuka Mto,
Wewe ni kijana unajuaje ukizeeka nawewe utatamani kuyafanya hayo wanayoyafanya wenzako sasa?
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
19,734
2,000
Mie wala siyo kijana kama unavyonifikiria..na hili jambo ni la kujiendekeza..wala siyo kitu cha kuja kama zijavyo mvi kusema utashindwa kuzizuia..
Hakuna shida wala tatizo Ila, tu kama wewe mwenyewe ni tatizo kwa kutokuelewa kuwa Si-lazima kuwe na tatizo.

Zingatia; Wakati mwingine mabadiliko hayazuiliki na daima Usitukane mamba kabla hujauvuka Mto,
Wewe ni kijana unajuaje ukizeeka nawewe utatamani kuyafanya hayo wanayoyafanya wenzako sasa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom